TAIFA STARS MUDA WA KUTUSUA NI SASA FANYENI KWELI
MWENDO wa hesabu kali Kwa sasa ukizingatia kwamba tumekwama kwa muda wa miaka 39 tukishuhudia wengine wakionyesha maajabu yao kwenye michuano mikubwa ya Afcon...
WACHEZAJI SIMBA WAGOMA KISA MPUNGA
Baada ya kikosi cha Simba (U20) kupoteza mchezo wa nusu fainali dhidi Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Bara, imeelezwa kuwa wachezaji wa timu hiyo...
ZAHERA ABADILI UPEPO YANGA
BOSI wa benchi la ufundi la Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amewasisitiza viongozi wa timu hiyo kuwapa mikataba mipya kwa haraka wachezaji...
STARS YAPEWA RAI YA KUCHUKUA KIKOMBE MISRI, LAZIMA IFUATWE
AKILI na mawazo ya mashabiki wengi wa soka hapa nchini vyote vimehamia nchini Misri ambako michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) inatarajiwa kuanza...
KISA HEKARI 15 KWA TAIFA STARS, MAKONDA ATOA ONYO KALI KWA ‘WANAOHOJIHOJI’ – VIDEO
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameahidi kutoa eneo la hekari 15 kwa shirikisho la soka nchini (TFF) kwa ajili ya...
KIUNGO MBAO AWAKATAA YANGA MCHANA KWEUPEE!! – VIDEO
KIPINDI cha Spoti Hausi kimeendelea tena hewani ambapo wachambuzi wako wamekuletea mambo mengi, lakini kubwa ni uchambuzi wa kiungo wa Mbao aliyetajwa kuletwa Dar...
MANARA: STARS HAIWEZI KUCHUKUA UBINGWA – VIDEO
Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya ushindi wa Taifa Stars amesema kuwa Watanzania tuisapoti Timu yetu...