MABINGWA SIMBA WALIVYOINGIA KWA WADHAMINI WAO SPORTPESA NA KUKABIDHI KOMBE, WAO WAKAONDOKA NA MKWANJA
Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe akikabidhi kombe la ubingwa wa Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Ndugu pavel Slavkov. (Picha na SportPesa News) Msafara mzima...
YANGA WAZINDUA RASMI UZI WAO MPYA KWA MWAKA 2019/20
Wakongwe Yanga kwa kushirikiana na kampuni ya GSM, leo wametambulisha jezi rasmi za timu hiyo watakazozitumia msimu wa 2019/20.Hafla hiyo ya utamburisho wa jezi...
SIMBA WAPEWA MAMILIONI YA KUTOSHA NA SportPesa
NEEMA imezidi kuongezeka kwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara, msimu wa 2028/19 lo baada ya kupewa hundi na wadhamini wa klabu hiyo SportPesa.Simba leo...
YANGA: NUNUENI JEZI HALISI KWA MANUFAA YA KLABU, UBORA WAKE HAKUNA MFANO BONGO
MSHINDO Msolla, mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa mashabiki wa Yanga wanunue kwa wingi jezi halisi ambazo zimezinduliwa leo kwa manufaa ya klabu.Msolla amesema:"Wakati nazunguka...
IDRSSA GUEYE: ULIKUWA MPANGO WANGU KUTUA PSG, NINA FURAHA KWA SASA
MPANGO wa nyota wa timu ya Everton kutimkia Paris Saint Germain umemfanya awe na furaha muda wote Kwa sasa.Gueye mwenye umri wa miaka 29...
KIKOSI CHA SINGIDA UNITED 2019/20 HIKI HAPA
KIKOSI cha Singida United msimu wa mwaka 2019/20 hiki hapa
CHEKI MKWANJA WANAOKUNJA NYOTA WA KIMATAIFA KWA WIKI, MESSI AMAPOTEZA CR 7
Nyota hawa bora kimataifa wanapokea mkwanja mnene kwa wiki kama hiviLionel Messi wa Barcelona anakunja pauni 900,000.Cristiano Ronaldo wa Juventus anakunja pauni 850,000.Antonio Griezmann...
KIKOSI CHA MAANGAMIZI CHA NDANDA FC MSIMU WA 2019/20
Kikosi cha Ndanda Sc Msimu 2019/2020MAKIPA1.Ally Mustapha Mtinge2.Abubakari Ramadhani3.Ismail Rajabu MABEKI1.Azizi Sibo2.Hemed Khoja3.Miraji Adam4.Paul Maona5.Shafii Naimu6.Godfrey Malibiche7.Said Mbaty8.Salumu Chuku9.Yusuph MguhiVIUNGO1.Abubakari Mkubwa 2.Taro Donald3.Omary Hasim4.Abubakari Makona5.Abdul Seleman6.Yassin...
TIKETI ZA WIKI YA MWANANCHI ZINAPATIKANA SEHEMU HIZI HAPA BONGO
KUELEKEA wiki ya Mwananchi Agosti 4, Uwanja wa Taifa tiketi zinapatikana sehemu zifuatazo:
KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA BOTSWANA
KIKOSI cha Timu ya Taifa kitakachoanza leo dhidi ya timu ya Botswana michuano ya COSAFA












