BAADA YA KUMTANGAZA MAKAME, YANGA YATUMA UJUMBE WA TAHADHARI SIMBA
Kutoka Young AfricansSalamu za pole zifike kwa timu yoyote itakayokaa mbele yetu: tutashambulia 'kiroho mbaya', ukiweka ugoko tunaweka chuma, tukitoa bunduki tunaingiza bomu.Abdulaziz Makame,...
KUBWA KULIKO: WIKI YA MWANANCHI KUITIKISA TANZANIA
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji ya Yanga Anthony Mavunde amesema wamependekeza kwa uongozi kuanzisha wiki maalum itakayoitwa ‘Wiki ya Mwananchi’, itakakayokuwa maalum...
ALIYETAJWA KUTUA SIMBA AMALIZANA NA YANGA KWA MIAKA MIWILI
Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuingia mkataba wa miaka na straika aliyekuwa anaicheza Polisi ya Uganda, Juma Balinya,Balinya amekuwa mfungaji bora wa Ligi...
KMC KUMENOGA, WAWILI WAPIGWA PINI NDEFU
UONGOZI wa KMC umeendelea kuongeza makali ndani ya kikosi chao baada ya kuwapiga pini jumla nyota wao wawili ndani ya kikosi hicho.KMC walianza jana...
Hivi Sasa ni saa Saba Kamili!
Nani kutangazwa leo kwaajili ya kujiunga na Klabu ya Simba SC? Fuatilia hapa pia mara tu atakapotangazwa, tutamuongeza katika kikosi cha Simba...
KABLA HAJATUA SIMBA, BWALYA ALIAMSHA DUDE
MSHAMBULIAJI Mzambia, Walter Bwalya ambaye anatarajiwa kutua Simba siku chache zijazo amechambuliwa kuwa ni mmoja wa washambuliaji wazuri na mwenye uwezo mkubwa wa kufunga...
SHAHIDI AOMBA MAJI MAHAKAMANI KESI YA AVEVA
SHAHIDI namba tano, Jovin Kalinga ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kuwa, alikuwa anafahamiana na kiongozi wa zamani wa Simba, Zacharia Hans...
HAYA NDIYO MAMILIONI YALIYOGHARIMU USAJILI WA NYONI, BOCCO NA MANULA SIMBA
Mambo ni moto! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa Klabu ya Simba hivi karibuni kuwaongezea mikataba baadhi ya nyota wake kwa ajili...
WAKATI IKIELEZWA ANATANGAZWA SIMBA LEO, YANGA WAJA NA MPYA JUU YA AJIBU
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kuwa bado unamuhitaji kiungo wao mshambuliaji, Ibrahim Ajibu na kilichobakia ni yeye kuamua lini asaini mkataba wa kuendelea...
NAMUNGO KUSAJILI WACHEZAJI 20
KOCHA wa Namugo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa watabaki na wachezaji 20 wa kikosi cha kwanza kwa kuheshimu mchango wao wa kuipambania timu.Akizungumza na...