MPANZU NA AHOUA KUJIUNGA NA TIMU MUDA WOWOTE
NYOTA wawili wa kikosi cha Simba SC, Eli Mpanzu na Charles Ahoua, wanatarajiwa kujiunga na timu hiyo muda wowote kuanzia sasa, baada ya kukamilisha...
JISAJILI NA UBASHIRI NA MERIDIANBET LEO
Leo hii ni siku nzuri kabisa ya wewe mteja wa Meridianbet kuondoka na ubingwa hapa. Timu kibao zipo uwanjani kwaajili ya kuhakikisha hubaki patupu...
SIMBA MWENDA POLE NDIE MLA NYAMA
KAULI ya “mwenda pole ndiye mla nyama” inaendelea kuidhihirisha vyema falsafa ya uongozi wa Klabu ya Simba katika mikakati yao ya usajili wa dirisha...
JANGWANI WATAMBULISHA SILAHA YAO MPYA
KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi kiungo Mohammed Damaro kuwa mchezaji wake mpya, akitia saini mkataba utakaomuweka ndani ya kikosi hicho hadi mwisho wa msimu...
TANDIKA JAMVI LAKO LA USHINDI HAPA
Michuano ya AFCON barani Afrika inaendelea lakini pia kuna mechi nyingine nyingi zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka nafasi ya ushindi na...
MERIDIANBET KUIBUA FARAJA WAMAMA PALESTINA
Akina mama wajawazito na waliojifungua hivi karibuni katika Hospitali ya Palestina, Sinza jijini Dar es Salaam, wamepata faraja ya kipekee mwishoni mwa mwaka huu...
JIWE MOJA KUUWA NDEGE WAWILI SIMBA SC
MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Zubeda Sakuru, amesema uongozi wa klabu hiyo umejipanga kutumia mashindano ya Kombe la Mapinduzi kama fursa muhimu ya...
NYOTA WA YANGA MSAFARA WA KOMBE LA MAPINDUZI
UONGOZI wa Klabu ya Yanga upo mbioni kuwanufaisha mashabiki wake baada ya kukamilisha mchakato wa uhamisho wa nyota wawili kutoka Singida Black Stars, Marouf...
SIMBA SC IMANI KUBWA BENCI LA UFUNDI
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, ameonesha imani kubwa kwa benchi jipya la ufundi la timu hiyo...
SIMBA SC KUELEKEA ZANZIBAR
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mpya, Steve Barker kinatarajiwa kuondoka kesho Januari Mosi, 2026 kuelekea Visiwani Zanzibar.
Simba wanaelekea Visiwani humo kwa ajili ya...












