Trending Stories
View All
ISHU YA BIGMAN FC KUUZWA IKO HIVI
RAIS wa Bigman FC, Ahmed Waziri Gao amesema hana mpango wa kuiuza timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Championship msimu huu…
AL AHLY WATAMBULISHA KIKOSI DHIDI YA YANGA
KLABU ya Al Ahly ya Misri imetangaza rasmi kikosi chake kitakachocheza dhidi ya Yanga ya Tanzania katika mchezo wa Ligi…
DILUNGA AUNGANA NA MZAMIRU TRA
KIUNGO wa zamani wa Simba na JKT Tanzania, Hassan Dilunga amekamilisha dili la kujiunga na TRA United akiungana na Mzamiru…
SIMBA KUSHUSHA KIUNGO KUTOKA LIGI YA CAMEROON
SOKA LA BONGO Imepata taarifa za ndani kutoka Simba kwamba klabu hiyo imemalizana na kiungo mshambuliaji, Iñno Jospin Loemba kutoka…
SIMBA YAMALIZANA NA MASHINE MBILI
UONGOZI wa Klabu ya Simba unaelezwa kuwa upo hatua za mwisho kukamilisha usajili wa wachezaji wawili wapya, kiungo mshambuliaji Iñno…
NANI KUKUPATIA PESA KWENYE EUROPE LEAGUE?
Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za Europa ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia…
TVBET KUBADILI DAKIKA NAFASI NDANI YA MERIDIANBET
Kwa muda mrefu, michezo ya kasino mtandaoni imekuwa ikichezwa kwa ratiba ngumu zinazowapa shida wale wanaotamani kucheza. Meridianbet imechagua kuvunja mtazamo…
HALI YA HEWA SIO KIKWAZO KWA WACHEZAJI, ETUTU
DAKTARI wa klabu ya Yanga, Moses Etutu, ameweka wazi kuwa benchi la afya la timu hiyo linaendelea kufanya kazi kubwa…
BARKER ANA SIRI ZA ESPERANCE
BENCHI la ufundi la Simba linaloongozwa na Kocha Mkuu, Steve Barker, limeanza kwa umakini mkubwa maandalizi ya kiufundi kuelekea mchezo…
SIMBA ITAAMKA NA KUSONGA MBELE, CHAMA
LICHA ya Simba SC kutokuwa na mwanzo mzuri wa msimu, kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo, Clatous Chama, amesema bado hakuna…
STRAIKA PRISONS ATUA COASTAL
ALIYEKUWA mshambuliaji wa maafande wa Tanzania Prisons, Abdulkarim Segeja, amekamilisha usajili wa kujiunga na Coastal Union kwa mkataba wa miezi…
MIDO SINGIDA ANUKIA AZAM
MABOSI wa Azam wanaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo mshambuliaji wa Singida Black Stars raia wa Ivory Coast, Idriss Diomande, baada…
MKONGOMANI KURITHI NAFASI YA CHAMA
MUDA mchache baada ya Singida Black Stars kukubali kumwachia Clatous Chama atimkie Simba, uongozi wa klabu hiyo upo kwenye hatua…
NI VITA YA CHIPO, MAXIME LIGI KUU BARA
MIEZI 10 na siku 9 imepita kufikia leo Januari 21, 2026 na tunakwenda kushuhudia tena mtanange baina ya Mtibwa Sugar…
HIKI HAPA ALICHOSEMA MAYELE BAADA YA CHAMA KURUDI TENA SIMBA….
STRAIKA wa Pyramids ya Misri na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Mayele, ameonyesha wazi furaha yake baada ya…
BETI MECHI ZA UEFA NA MERIDIANBET
Kupiga pesa ni rahisi sana ndani ya UEFA endapo utaamua kubashiri mechi zote hapa leo. Wakali wa ubashiri wanakwambia kuwa…