BARBARY COAST KASINO| UNYAMA WA KUPAMBANA NA MAHARAMIA WA BAHARINI…
Huu hapa mchezo mwingine mzuri kabisa na rahisi kujipigia mkwanja unaposhiriki michezo ya kasino ya mtandaoni, ni mchezo wa Barbary Coast maharamia wenye nguvu...
EUROPA LEAGUE INATOA PESA NYINGI LEO….ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…
Michuano ya EUROPA leo hii inaendelea ambapo timu kibao zinapigwa katika viwanja mbalimbali huku meridianbet ikikupa nafasi kubwa ya kuondoka na utajiri. Unasubiri nini...
WABABE WA YANGA KUKUTANA USO KWA USO….ISHU NZIMA HII
HUKO mtaani kama unataka kuwakata stimu mashabiki na wapenzi wa Yanga kukumbushia vipigo viwili mfululizo vilivyoitibulia timu hiyo katika Ligi Kuu Bara.
Kama umesahau, baada...
HUKU AKIENDELEA KUKAA BENCHI….HUSSEIN KAZI AVUNJA UKIMYA SIMBA….
BEKI wa kati wa Simba, Hussein Kazi amesema kukaa benchi kunahitaji roho ngumu kwa kiu ya mchezaji yeyote ni kuona anacheza, lakini amekiri uwezo...
HUU HAPA UAMUZI WA TFF SAKATA LA LAWI KUHUSU KUCHEZEA SIMBA AU YANGA….
LILE sakata linalomhusu beki wa Coastal Union dhidi ya klabu ya Simba limechukua sura nyingine baada ya leo Kamati ya Sheria na Hadhi ya...
MASHINE HII YA SIMBA KUSEPA DIRISHA DOGO….
MABOSI wa KMC wapo katika mazungumzo ya kupata saini ya nyota wa Simba, Salehe Karabaka kwa mkopo wa miezi sita baada ya kutokuwa na...
KISA YANGA KUMTAKA LAMECK LAWI…SIMBA WAENDA KULIAMSHA UPYA TFF….
BAADA ya tetesi kuibuka kuwa beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi anatajwa kujiandaa kutua Yanga, mabosi wa Simba wameamua kuifufua upya kesi...
KUELEKEA MECHI NA WATUNISIA…..FADLU ATANGAZA MIKAKATI MIPYA SIMBA…
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids ameweka wazi hesabu zake kimbinu katika mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia...
MANULA AFUNGUKA ISHU YA KUTAKA KUSEPA SIMBA…AMPA NENO HILI CAMARA….
NI suala la kawaida kwa binadamu yeyote aliye hai maisha yake kuwa na hali ya kupanda na kushuka, inaweza kukutokea kazini, masomoni, kwenye uhusiano...
TENGENEZA MKWANJA NA KASINO YA MTANDAONI NDANI YA MERIDIANBET…
Ilizanza kama hadithi tamu na ya kusisimua kutoka kwa mtaalam Knud na mara ghafla ikageuka uhalisia, ni kutoka simulizi za Knud zinakuletea uhalisia wa...