PAMOJA NA KUFURUSHWA YANGA…GAMONDI KASALIA BONGO….HUENDA AKATUA TIMU HII…
BAADA ya klabu ya Singida Black Stars kumsimamisha kazi Kocha Mkuu, Patrick Aussems na msaidizi wake Denis Kitambi ambao wote walishawahi pia kufanya kazi...
KUELEKEA MECHI NA WAANGOLA LEO…MUKWALA, ATEBA WAPEWA KAZI MAALUMU SIMBA…
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewapa kazi mastraika wake wawili, Leonel Ateba na Steven Mukwala, kuwamaliza Waangola, Bravo do Maquis, katika mchezo wa...
KUHUSU STARS KUENGULIWA KUSHIRIKI AFCON 2025….HUU HAPA MSIMAMO WA TFF….
BAADA ya kuwapo kwa sintofahamu ya huenda Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), itaondolewa kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON...
KISA UHUJUMU UCHUMI…KOCHA WA SIMBA ASOTA RUMANDE MIAKA 2 MFULULIZO…
Aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya Simba, Muharami Sultani (40) na wenzake wanaendelea kusota rumande kwa siku 736 kutokana na upelelezi wa shauri...
BAADA YA KUIPELEKA STARS AFCON….DILI HILI JIPYA LANUKIA KWA MSUVA…NI MABILIONI TU…
DURU za usajili zinasema Simon Msuva anasubiri ofa ya mkataba mpya wa miaka miwili na klabu yake ya Al-Talaba SC ya Irak kwani ule...
FT:- YANGA 0-2 AL HILAL……HIVI NDIVYO IBENGE ALIVYOENDELEZA TABU JANGWANI….
YANGA imeanza vibaya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikifungwa mabao 2-0 nyumbani dhidi ya Al Hilal kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa,...
KUELEKEA MECHI YA KESHO NA WAANGOLA….FADLU ALIMALIZA KILA KITU KWA PAMBA….
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa juzi kati ya timu yake dhidi ya Pamba Jiji na kushinda bao...
KUELEKEA MECHI NA WAANGOLA KESHO…KAGOMA ARUDISHA TABASAMU SIMBA…
HABARI njema kwa wanachama na mashabiki wa Simba ni kwamba, kiungo mkabaji asilia wa timu hiyo, Yusuph Kagoma, amepona na amerejea mazoezini na wenzake...
LEO HII USHINDI NI WAKO NA MERIDIANBET….ODDS ZA KWENDA NAZO HIZI HAPA….
Meridianbet wanakwambia kuwa siku ya leo unaweza ukapata ushindi mkubwa kabisa ambapo Barcelona, Inter, City, PSG wote wapo dimbani kuhakikisha hutoki kapa. Tengeneza jamvi...
KUELEKEA MECHI NA WASUDANI LEO….KOCHA MPYA YANGA KUINGIA NA STAILI HII YA KIJERUMANI..
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Removic amesema tayari ameshawasoma Al Hilal Omdurman ya Sudan, sasa kazi alioanza nayo kubwa ni kuweka mipango sawa safu...