Home Tags Al ahly

Tag: Al ahly

SIMBA WAIFANANISHA AL AHLY NA ZAMALEK

0
Uongozi wa Klabu ya Simba imesema kuwa unatambua mchezo wao wa nusu fainali ya African Football League dhidi ya Al Ahly ni mgumu ndani...

SIMBA KIVUMBI LEO UGENINI ISHU IKO HIVI

0
Majibu ya nani atakuwa mshindi atakayesonga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano mapya ya African Football League kati ya wawakilishi wa Tanzania, Simba dhidi...

MANULA, KRAMO NJE YA DIMBA SIMBA vs AL AHLY

0
Mlinda mlango wa wa klabu ya Simba Sc, Aishi Manula 'Air Manula' na winga Aubin Kramo hawatakuwa sehemu ya kikosi ambacho kitakipiga kwenye mchezo...

ROBERTINHO: NIACHIENI MIMI TUTAWASHANGAZA WA MISRI NYUMBANI KWAO

0
“Niachieni mimi,” hiyo ni kauli ya Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ baada ya kuulizwa maandalizi yake kuhusu mechi ya marudiano ya African...

ROBERTINHO AWAPA NENO HILI MASTAA SIMBA

0
Simba imewasili jijini Cairo nchini Misri tayari kwa mchezo wa kesho wa marudiano ya African Football League dhidi ya Al Ahly lakini kuna mambo...

ROBERTINHO ATOA KAULI YA KIBABE KUELEKEA MECHI YA MARUDIANO

0
Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wala hana presha na mchezo wa marudiano akiwatumia salamu Al Ahly kuwa wanakwenda kupambana, huku akipangua kikosi. amesema “Mimi...

SIMBA WAJUE MAMBO HAYA KABLA YA KUKUTANA TENA NA AL ALHLY

0
Kwa madaraja ya timu zinazokutana kwenye mchezo wa leo, natarajia kuona mpira uliotulia, pasi nyingi na kupeana nafasi ya kucheza sio kukamiana na kugongana...

GAMONDI AWASOMA WAPINZANI WA SIMBA KWA MBALI

0
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi alikuwa jukwaani akiwasoma wapinzani wao kwenye Ligi Kuu Bara, Simba ambao watakutana nao mwezi ujao, lakini pia Al Ahly...

SIMBA WATUMA VIGOGO KABLA YA KIKOSI

0
Imefahamika kuwa baadhi ya vigogo wa Simba SC wametangulia nchini Misri kwa ajili ya kuweka mambo sawa na moto, kabla ya mchezo wa Mkondo...

KOSA LA SIMBA LILIKUWA HAPA DHIDI YA AL AHLY

1
Mpira ni mchezo wa makosa hilo lipo wazi na ilikuwa hivyo kwenye mchezo wa ufunguzi wa Afrinca Football League kati ya Simba dhidi ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS