Tag: aziz ki
UNAAMBIWA AZIZI KI NDIO KINARA WA MAGOLI YA NAMNA HII
Baada ya Stephane Aziz Ki kufunga mabao matatu ‘hat-trick’ katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Benjamin...
AZIZI KI ATOA AHADI YA KIBABE YANGA
Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki, amesema licha ya kuwa kinara wa magoli katika Ligi Kuu ya NBC msimu huu, lakini...
AZIZI KI ATOA TAMKO HILI KWA MASHABIKI
Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Aziz Stephanie Ki amewaita mashabiki wa timu hiyo kujitokeza uwanjani kuwasapoti wachezaji wao kwenye mchezo wa Ligi ya...
MASTAA HAWA WA SOKA BONGO KAMA ULAYA
Mara nyingi wakati wa mapumziko tumezoea kuona wachezaji wanao cheza soka la kulipwa ulaya wakati wa mapumziko wakioneka katika viwanja vikubwa kufatilia mchezo wa...
AZIZ KI AWAGUMZO SOKA LA BONGO, ISHU NZIMA IKO HIVI
Wadau wa soka wameweka wazi mambo yaliyomfanya kiungo wa Young Africans, Stephane Aziz Ki msimu uliopita kushindwa kufanya vizuri na kuwaka msimu huu.
Aziz Ki...
HUYU AZIZI KI MNAEMUONA NI ASILIMIA 40 TU
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka nchini, George Ambangile amesema kuwa kiwango cha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz Ki anachokionesha kwa sasa ni asilimia...
MANARA AWATOLEA UVIVU TFF KISA CHAMA, AZIZ KI…. ISHU IKO HIVI
Msemaji wa Klabu ya Yanga aliyefungiwa na TFF, Haji Manara amewakingia kifua wachezaji wa soka wenye mikataba binafsi na kusema kanuni za Shirikisho la...
MAAJABU YA GUU LA KUSHOTO LA AZIZ KI SI POA
MGUU wenye nguvu kwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI ni ule wa kushoto unaompa maujanja ya kuwapa maumivu makipa ndani ya Ligi Kuu...