Tag: bodi ya ligi
BODI YA LIGI YAILAMU YANGA KWENYE DABI YA KARIAKOO, KISA HIKI...
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imesema haipendezwi na tabia ya timu mgeni kwenye Mchezo wa Kariakoo Derby kutoifanyia promo mechi hiyo na kuachia...
ALY KAMWE AWATUPIA KIJEMBE HIKI SIMBA PACOME AHUSISHWA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, amesema kuwa kwao uongozi wanajisikia furaha kusikia na kuona kila baada ya mchezo unapomalizika, wachezaji...
SIMBA YACHAPWA FAINI NA BODI YA LIGI KISA HIKI HAPA
Klabu ya Simba SC imepigwa faini ya shilingi million moja (1,000,000/=) na bodi ya ligi TPLB.
Hii ni baada ya maafisa wake usalama kumfanyia vurugu...
BODI YA LIGI YAFUNGUKA ISHU NYA LIGI KUU KUSIMAMA ISHU IKO...
Bodi ya Ligi ya Tanzania (TPLB), imesema kuwa sababu ya kusimama kwa Ligi Kuu ya Tanzania ni kutokana na kalenda ya Shirikisho la Soka...
SIMBA WAITAMANI COASTAL UNION….. ISHU YAFIKA BODI YA LIGI
Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wamekiri kuwaandikia bodi ya Ligi barua ya kuomba wacheze raundi ya tatu mechi dhidi ya Coastal Union.
Akizungumzia suala hilo,...