Tag: dabi ya kariakoo
TAKWIMU HIZI ZINASEMA DABI YA KARIAKOO ILICHEZWA KWA DAKIKA 50 TU
BADO Yanga inashangilia ushindi wake wa mabao 5-1, dhidi ya watani zao Simba wanaoumia kupewa kichapo hicho kikubwa ikiwa ni kama kisasi kwani mei...
YANGA WAMKOSHA SAMIA AWAPA NENO LA FURAHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi...
SIMBA vs YANGA NI KISASI NA HESHIMA VYOTE KATIKATI YAKE
Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa patachimbika, hii ni siku ambayo itakuwa mwisho wa ubishi, nyodo na tambo wakati miamba miwili ya soka nchini,...
KIZAAZAA CHA MZAMIRU YASIN KWENYE DABI, ROBERTINHO ALISEMA HIVI
Mzamiru Yassin mwamba kabisa hana bahati na mechi kubwa, anaweza kupiga kazi kubwa dakika zote ila kosa lake moja likatumiwa na wapinzani kisha mashabiki...
KUHUSU DABI YA KARIAKOO HAWA SASA NDIO WAKONGWE WENYEWE
Jumapili nyasi za uwanja wa Mkapa zitakuwa na shughuli nzito kwa kuwakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga mchezo utakaochezwa saa 11:00 jioni.
Katika mchezo...
PASI ZA YAO KUAMUA MATOKEO YA YANGA DABI YA KARIAKOO
MWAMBA Yao Attohoula ni baba lao kuelekea Kariakoo Dabi kwa upande wa kutengeneza pasi za mabao kwenye mechi za Ligi Kuu Bara.
Ni Novemba 5...
UWEZO WA PHIRI KUELEKEA DABI YA KARIAKOO
Kuna mjadala kuhusu matumizi ya Moses Phiri ndani ya kikosi cha Simba SC na unazidi kupata nguvu kutokana na uwezo wake wa kumalizia anapoipata...
MABOSI SIMBA WAWEKA MEZANI MILIONI 500 SIMBA IKIICHAPA YANGA DABI YA...
Taarifa kutoka ndani ya Simba SC, zinaeleza kuwa, uongozi wa timu hiyo umeweka pesa ya maana ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi dhidi ya Young...
JE JUMAPILI NI SIKU YA SIMBA!? DABI HII KUAMUA KILA KITU
ZIMEBAKI siku tatu kabla ya mechi kubwa nchini Simba vs Yanga, lakini kwa takwimu za kiufundi zilivyo gemu itakuwa ya ufundi mwingi na itafia...
DABI YA KARIAKOO UNAAMBIWA IMEANZA NJE YA UWANJA HAPA GAMONDI PALE...
Jumapili ya Novemba 05 mwaka 2023 mishale ya saa 11 jioni, Miamba ya Soka la Bongo (Simba SC na Young Africans) itakwenda kukutana kwa...