Tag: gamondi
HUYU AZIZI KI MNAEMUONA NI ASILIMIA 40 TU
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka nchini, George Ambangile amesema kuwa kiwango cha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz Ki anachokionesha kwa sasa ni asilimia...
GAMONDI AFUNGUKA HAYA KUHUSU UWEZO WA PACOME, MAXI ZOUZOUA
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa licha ya viwango vya mastaa wake ikiwa ni Maxi Mpia, Pacome Zouzoua bado anaamini...
GAMONDI ACHUKIZWA NA JAMBO HILI LA MAUYA KWENYE MCHEZO WA JANA
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina ameonyesha kutofurahishwa na kitendo cha mchezaji wake Zawadi Mauya kusababisha penati iliyozaa bao...
KWA HILI GAMONDI KAZI ANAYO HUKO YANGA
Hakuna kitu kizuri kama kuiangalia Yanga ya Gamondi ikicheza, kama unadaiwa kodi, una njaa, una uchovu ama unaumwa homa ndogondogo basi ni dawa inayotibu...
GAMONDI AMKINGIA KIFUA HAFIZ KONKANI, ISHU IKO HIVI
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema kuwa anafurahi kuona mshambuliaji wake mpya, Hafiz Konkoni anaanza kufunga mabao ndani ya timu hiyo huku...
KWA PIRA HILI LA GAMONDI HATARI
Wakati Nabi alipotangaza kuondoka Yanga na kisha benchi lake zima la ufundi likamfuata katika mlango wa kutokea pamoja na straIka kinara Fiston Mayele, wengi...
LICHA YA UBUTU WA SAFU ZA USHAMBULIAJI YANGA, GAMONDI AFUNGUKA SOKA...
Kocha Miguel Gamondi alisema licha ya ubutu wa safu ya ushambuliaji ila hana wasiwasi na hilo kutokana na aina ya soka analofundisha kwani kila...
SABABU ZA JOB KUWA BENCHI, GAMONDI AFUNGUKA KILA KITU
Baada ya kumalizika mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kati ya Yanga SC dhidi ya Asas kutoka Djibouti na...
GAMONDI AWEKA WAZI MPANGO HUU KIMATAIFA YANGA
UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua kuanza katika kikosi cha timu hiyo, kitakachovaana dhidi ya ASAS FC...
KWA HILI GAMONDI LAZIMA AKUNR KICHWA YANGA
Pazia na michuano ya kimataifa kwa msimu wa 2023-2024 lilifunguliwa Jana Agosti 18 kwa mechi za raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa na...