Tag: gamondi
YANGA HII SASA TOO MUCH
Wakati matokeo ya msimu uliopita ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika na Al Hilal ya Sudan yakimuumiza kichwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Angel...
YANGA HII YA GAMONDI SASA HATARI KAMA ULAYA
Klabu ya Yanga haitaki mchezo kwani imeendelea kuwekeza ndani na nje ya uwanja na sasa imegeukia kwenye teknolojia ya kisasa ambayo mastaa wa kikosi...
GAMONDI : MECHI HII NI NGUMU ILA ITAFAHAMIKA HUKO HUKO
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amekiri mechi ijayo ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh ya Sudan ni ngumu, lakini amesema...
YANGA WAANZA NA TUNZO MAPEMAAAAAA, HAPA GAMONDI PALE NZEGELI
NYOTA wa Yanga, Maxi Nzengeli, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24, huku Miguel Gamondi wa Yanga,...
GAMONDI ATAMBA, AWEKA WAZI REKODI YAKE HII MPYA LIGI YA MABIGWA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amefichua kuwa, anafahamu timu hiyo ina rekodi mbaya kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kushindwa kucheza...
GAMONDI SIO KINYONGE AJA NA HILI KIGALI
Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi anasuka kikosi chake kwa ajili ya mechi zijazo ikiwemo ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...
RWANDA KUMENOGA ZOUZOUA, MAXI WAKABIDHIWA MIKOBA
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema anaamini timu yake itatinga Hatua ya Makundi ya mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
MASHABIKI WA YANGA HAPO KIGALI SIO POA
Licha ya kusalia kwa siku chache kabla ya Young Africans kuvaana na Al Merrikh ya Sudan kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, tayari...
TIZI LA YANGA SIO POA KAMA ULAYA UNAAMBIWA
KATIKA kuhakikisha Yanga inazidi kufanya vema katika mchezo unaofuata wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh, benchi la ufundi la timu hiyo...
SKUDU KAMA NZEGELI SASA, MAMBO YAPO HIVI
Winga wa Yanga Skudu Makudubela ameamua kupita njia za kiungo wa Yanga raia wa Congo Maxi Mpia Nzengeli.
Skudu ameonekana jana katika mazoezi ya Yanga...