Home Tags HABAR ZA MICHEZO

Tag: HABAR ZA MICHEZO

YANGA YAIPIGA KO SIMBA…WAMSAINISHA BEKI HUYU KISIKI…YANASUBIRIWA MAOKOTO TU

0
Mlinzi wa pembeni wa Yanga ambae alikuwepo kwa mkopo kutoka Singida Fountain Gate Nickson Kibabage amesaini mkataba wa miaka mitatu Yanga, makubaliano ya mauzo...

KOCHA YANGA AVUJISHA SIRI HII YA GAMONDI…WACHEZAJI HAWA WAREJEA KUTOKA MAJERUHI

0
Wakati Yanga imebakiza pointi 12 ikiwa ni sawa na mechi nne ili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa tatu mfululizo, kocha...

TETESI: PACOME AFUNGIWA NA FIFA…KIKWETE AINGILIA KATI…RAIS YANGA AFUNGUKA A-Z

0
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amefunguka kuhusu madai kuwa mchezaji wa timu hiyo, Pacome Zouzoua raia wa Ivory Coast amefungiwa na...

MASHABIKI SIMBA WAMGEUKIA BOCCO…AONEKANA AKIWA NA KIKOSI B…KILA KITU HIKI HAPA

0
Heshima aliyojijengea nahodha wa Simba, John Bocco tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara mwaka 2008 hadi 2024, inawafanya mashabiki kuyafuatilia maisha yake na kutaka kujua...

TIMU HII BONGO YAREJEA LIGI KUU BAADA YA MIAKA 22…WARUDI KWA...

0
TP Lindanda wana Kawekamo timu ya Pamba Jiji FC imerejea tena Ligi Kuu Bara na kuwakata kiu mashabiki wa soka wa Jiji la Mwanza...

BENCHIKAH ALIVYOKUMBWA NA GUNDU LA ROBERTINHO….KUMBE VITU HIVI NDIO VIMEMFELISHA

0
Benchikha ameondoka akiwa ameiongoza Simba katika mechi 12 za Ligi Kuu, lakini takwimu zinaonyesha mtangulizi wake, Roberto Oliveira 'Robertinho' aliyeachana na timu hiyo Novemba...

SIMBA YAMRUDISHA KOCHA HUYU MASHINE…NI BAADA YA BENCHIKAH KUONDOKA…ISHU NZIMA HII...

0
Hatimaye Simba imerejesha kocha mzoefu, Juma Mgunda kwenye kikosi hicho muda mchache baada ya Abdelhack Benchikha na wasaidizi wake kutimka. Tetesi zilianza kuzagaa wiki nzima...

GAMONDI AMWAGA CHECHE…USHINDI WA 5-0 BADO HAUJAISHA…AFUNFUKA HAYA

0
YANGA imerudi njia ya ushindi baada ya kuichapa Coastal Union kwa bao 1-0 ikiendelea kupunguza safari ya kulifuata taji la 30 la Ligi Kuu...

TIMU HII YASHINDWA KUFIKA UWANJANI BONGO…KUFUTIWA MATOKEO NA KUSHUSHWA MADARAJA MAWILI

0
Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya mtoano (play off) baina ya Moro Kids ya Morogoro na Kurugenzi FC ya Simiyu umeshindwa kufanyika...

SIMBA WAPATA MBADALA WA STAA WAO HUYU…KUMBE WATUA KWA DROGBA…ISHU NZIMA...

0
Winga wa timu ya Asec Mimosas, Serge Pokou @tgvnational_p23 raia wa Ivory Coast anatajwa huko Msimbazi kwenda kuchukua nafasi ya Willy Essomba Onana ambae...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS