Tag: HABAR ZA MICHEZO
MITIHANI HII MIPYA YAMUUMIZA KICHWA FEI TOTO…BOCCO NA KIPRE WATAJWA
Baada ya kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' kuyafikia mabao 14 aliyofunga, Prince Dube msimu wa 2020/21, amebakiwa na mitihani miwili ndani...
RATIBA YA LIGI KUU KUTIBULIWA NA MVUA…GAMONDI ATOA YA MOYONI…BODI YA...
Mvua zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali hapa nchini, zimeonekana kutishia kutibua ratiba ya michezo ya Ligi Kuu Bara.
Jumanne wiki hii, ilishuhudiwa mchezo baina ya...
NI BAADA YA SOPU KUFANYA YAKE…AWAKUTANISHA AZAM NA WABABE HAWA
Timu ya Azam Fc imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la Muungano mara baada ya kupata ushindi wabao 5-2 dhidi ya timu ya...
UGOMVI WA ALGERIA NA MOROCCO UPO HIVI A-Z….KUMBE WACHEZAJI WALIBADILISHIWA JEZI
Nakumbuka ilikuwa Januari 2022, wakati mashindano ya AFCON 2021, yanaendelea kule Cameroon.
Baada ya mchezo wa hatua ya makundi kati ya Algeria na Ivory Coast...
JE AZIZ KI ANAONDOKA YANGA…WAKALA WAKE AFUNGUKA MAMELODI WATAJWA…ISHU NZIMA IKO...
Umesikia huko @soccer_laduma wameripoti kuwa Wakala wa mchezaji wa Young Africans, Aziz Ki anayefahamika kwa jina la @zambro_sport_management_ Traore amekiri kusikia taarifa za mchezaji...
KLABU HII LIGI KUU YAANGAMIA…HALI NI TETE MAAJABU PEKEE NDIO YATAIKOMBOA…ISHU...
Kuna namna mbili ambazo zinaweza kuiokoa Mtibwa isishuke daraja ambazo ni kumaliza ikiwa juu ya nafasi ya 13 ambapo itabaki moja kwa moja ama...
KOCHA MFARANSA ATELEKEZA TIMU HII BONGO..AGOMBANA NA WACHEZAJI NA VIONGOZI.
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Tabora United Mfaransa, Denis Laurent Goavec ameondoka ndani ya timu hiyo ikiwa ni mwezi mmoja tu tangu ajiunge nayo akichukua...
KOMBE LA SHIRIKISHO LAVURUGWA NA SIASA…CAF WAINGILIA KATI…WATOA USHINDI WA MEZANI...
Shirikisho la Sola Barani Afrika (CAF) limewapa Klab ya RS Berkane ushindi wa Mabao 3 dhidi ya USM Algers ya nchini Algeria.
Matokeo haya ni...
KOCHA MSIMBAZI…SIMBA INJAKABILIWA NA WACHEZAJI WENGI WALIOKOSA KASI…ISHU NZIMA IPO HIVI
Kama kuna kitu kinawaumiza Simba basi ni kitendo cha kikosi chao kupoteza mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara ndani ya msimu mmoja tena...
JKT TANZANIA YALAMBA MAMILIONI HAYA…NI BAADA YA KUWABANIA YANGA…LUTENI KANALI AFANYA...
Maafande wa JKT Tanzania wamelamba Sh30 milioni baada ya kutoka suluhu (0-0) katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga kwenye Uwanja...