Tag: habari za michezo soka
KAZI IMEANZA , ROBERTINHO AMWAGWA SITA OUT
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
FEI TOTO HUKU AZAM NI MPYA KABISA
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ namba zinambeba. Gazeti hili limefanya uchambuzi licha ya kiungo huyo kucheza dakika chache tangu amejiunga na...
UONGOZI WA SIMBA WAMPA NENO HILI SAMIA BAADA YA MAREKEBISHO YA...
Uongozi wa Klabu ya Simba SC, umeipongeza serikali chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya marekebisho ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa...
YANGA YAPAA AFRIKA YASHIKA NAMBA MOJA
Klabu ya Yanga imeibuka kinara kwa kufuatiliwa zaidi barani Afrika kwenye mtandao wa Instagram kwa upande wa timu za mpira wa miguu kwa mwezi...
MAMBO HADHARANI FAILI LA AFYA YA KRAMO HILI HAPA
Winga wa Simba Aubin Kramo ameanza mazoezi katika viwanja vya MO Simba Arena. Raia huyo wa Ivory Coast aliyeibuka ndani ya Simba akitokea ASEC...