Tag: Habari za Michezo
HUYU HAPA MCHEZAJI WA KWANZA…KUTOKA YANGA KWENDA SIMBA…OKWI,TAMBWE,MORRISON WANASUBIRI
JANA Aprili 16, 2023 ilikuwa dabi ya Kariakoo. Miaka 40 iliyopita tarehe kama hiyo, Simba ilikubali kichapo cha mabao 3-1.
Ndio ilikuwa ni Aprili 16,...
YANGA YAKAMILISHA USAJILI HUU…”HII NI ZAWADI KWA MASHABIIKI WETU
Tuliahidi na tumetimiza Na hii ndio zawadi ya Iftar kwa Wananchi! Hii ni kauli ya Klabu ya Yanga baada ya kutangaza kumuongezea
mkataba beki wao,...
IMEVUJA RASMI…KIPA KINDA SIMBA AWEKEWA ULINZI MZITO…ISHU KAMILI A-Z HII HAPA
Kila mchezaji wa Simba alikuwa anajaribu kumlinda Ally Salim Juma kiakili na kimwili ili aendelee kuwepo kwenye mchezo.
Utaona kila alipokuwa akifanya jambo zuri karibu...
HIZI HAPA KLABU 10 ZENYE THAMANI ZAIDI AFRIKA MASHARIKI…CHAMA LAKO NAMBA...
Vilabu vyenye Thamani zaidi Afrika Mashariki.
10: Gor Mahia (Kenya) - Value, $572,200
09. Tusker Fc (Kenya) - Value $596,000
08: Rayon Sport (Rwanda) Value, $600,000
07:...
BAADA YA YANGA KULA KICHAPO…SHABIKI HUYU MWANACHI AFARIKI…ISHU NZIMA IKO HIVI
Shabiki wa Yanga aitwaye Jane, mkazi wa Kata ya Bwilingu wilayani Chalinze mkoa wa Pwani, amepoteza maisha wakati akiangalia mchezo wa jana wa watani...
HIZI HAPA KESI ZA TALAKA ZILIZOWAFILISI MASTAA…ACHRAF HAKIMI CHA MTOTO
PARIS, UFARANSA. HIVI karibuni stori kubwa ni kumhusu mchezaji wa kimataifa wa Morocco anayeichezea PSG, Achraf Hakim ambaye ameandikisha mali zake zote chini ya...
MWASITI AKIRI WAZI WAZI MOYONI KWAKE…ANA HIP-HOP NA SIMBA SC TU
NI zaidi ya miaka 15 sasa anaitumikia Bongofleva kwa maslahi mapana ya mashabiki wake, ana sauti ya kuvutia, anajua kucheza na jukwaa na anapendwa...
HII SASA KUBWA KULIKO…MBWANA SAMATTA KUKIPIGA SIMBA…MASHABIKI WAPAGAWA
Meneja wa mshambuliaji kinara wa Simba, Jean Othor Baleke raia wa Congo DR, Clovis Mashisha amekiri kuwa mchezaji huyo ana mkataba na Klabu ya...
NO AISHI MANULA NO BENO KAKOLANYA NO PROBLEM…MANULA AMPONGEZA ALLY SALIMU
Golikipa namba moja wa Simba SC,Aishi Manula, amempongeza golikipa namba tatu wa timu hiyo kwa kuweza kuhimili mechi ya dabi na kuondoka na clean...
MMH KUMBE ISHU YA FEI TOTO…NI KAMA YA MSUVA ILIVYOKUWA…YANGA KUWENI...
Msimamizi wa mchezaji Feisal Salum katika sakata lake na Yanga, Jasmine Razack amesema kuwa Kanuni za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) zinaruhusu pande zilizoingia...