Tag: habari za yanga
FADLU AMKINGIA KIFUA ATEBA…ANAJUA KUFUNGA
Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amemkingia kifua mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Leonel Ateba 25, akisema anamwona akifika mbali msimu huu kwa jinsi...
MAUYA NA MWAMNYETO WATOA MSAADA KWA MDAMU
BEKI na Nahodha wa Yanga Bakari Mwamnyeto na rafiki yake, Zawadi Mauya wa Singida Black Stars wamemshika mkono aliyekuwa mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerald...
SIMBA NA YANGA CAF WANATAMANISHA.
WAWAKILISHI PEKEE wa Tanzania kwa upande wa Kimataifa, Simba na Yanga wanakabiriwa na michezo ya raundi ya pili kufuzu hatua ya makundi, wote watakuwa...
WAKILI WA YANGA AMPASUA KICHWA KAGOMA…ATAKA ASAJILIWE JANUARI
Mwanasheria Mkuu wa Yanga Simon Patrick ametema nyongo juu ya kilichofanywa na mchezaji wa Simba, Kiungo Yusuph Kagoma ambaye alisajiliwa na Yanga kwa mujibu...
UBAYA UBWELA WAZUA BALAA KWA WAPINZANI
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa nado hawajafika hata robo ya ubaya ubwela ndani ya kikosi hicho...
MSUVA AFUNGUKA HATMA YAKE TAIFA STARS
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, 30, ameeleza mikakati yake wakati akitua Jamhuri ya Iraq huko Asia Magharibi kwa ajili ya kujiunga timu...
KESI YA MAGONA NA YANGA KUSIKILIZWA LEO TENA.
Hatima ya uhalali wa rufaa dhidi ya Klabu ya Yanga, inatarajiwa kujulikana leo Jumatatu, Septemba 9, 2024, wakati Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es...
SIMBA NA YANGA NGOMA DROO KIMATAIFA
Katika kuhakikisha nyota wake wanaozitumikia timu za taifa wanaziwahi mechi zao za ugenini za mashindano ya klabu Afrika wiki ijayo, Yanga na Simba zimepanga...
MABAO 22 YA LIGI KUU YACHAMBULIWA…SIMBA AONGOZA
MABAO 22 yamefungwa katika michezo 13 ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa mpaka sasa, 19 yakifungwa kwa njia ya kawaida na matatu kwa mikwaju...
GAMONDI AAPA KUWAMALIZA CBE NYUMABNI KWAO
LICHA ya kubakia na wachezaji wachache kambini, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameendelea na programu yake kwa ajili ya kujiandaa kuwakabili CBE ya...