Tag: habari za yanga
YANGA YASHITUKIA UMAFIA WA MAGORI NA MO KWA CLATOUS CHAMA
WASWAHILI Wamenena kwamba biashara asubuhi na jioni mahesabu, ndio kauli waliyoitumia Yanga kukamilisha dili la kiungo Clatous Chama ambaye ametua kwa mabingwa hao na...
AZIZ KI ATOA MASHARTI MAZITO YANGA…KUMBE BADO HAJASAINI MKATABA
Inadaiwa kuwa Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kumuongeza mkataba wa kusalia klabuni hapo kiungo wao Stephane Aziz Ki ambaye ametoa masharti kwa uongozi...
YUSUF MANJI TAJIRI WA YANGA KUZIKWA LEO…YANGA KUMUENZI KWA MAMBO 9.
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji ambaye alifariki juzi Jumamosi anatarajiwa kuzikwa leo nchini Marekani.
Manji alifariki akiwa hospitalini Florida Marekani alipokuwa...
YANGA YENYE CHAMA, PACOME, AZIZ KI NYIE HAMUOGOPI? GAMONDI ACHAGUE MIFUMO...
Chama atakuwa mmoja ya wapambanaji wa klabu ya Yanga msimu wa 2024/2025 ambapo timu hiyo itakuwa ikishiriki mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrka, Ligi...
REKODI ZA CHAMA AKIWA SIMBA…YANGA ANAKUTANA NA WATU WA MAANA
KULE CHAMA, Huku Aziz Ki, Hapa Pacome, pembeni Maxi Nzengeli hatimaye yametimia waliyokuwa wanayasubiri Wananchi, Clatous Chama sasa ni rasmi mali ya Yanga.
Baada ya...
YUSUF MANJI ATAKUMBUKWA KWA MENGI YANGA…KUNA HAYA BAADHI.
YANGA INALIA Imempoteza Tajiri na mtu wa muhimu kwao, Tanzania inasikitika kumpoteza moja ya mtu muhimu, Simba inahuzunika kwa msiba wa Yusuf Manji kama...
BREAKING NEWS…CLATOUS CHAMA NI MWANANCHI…ILIKUAJE HADI KWENDA YANGA?
HATIMAYE YAMETIMIA, Baada ya sarakasi nyingi za kuwania saini ya Mwamba wa Lusaka Clatous Chama, Yanga wameibuka na ushindi wa KO dhidi ya Simba...
INJINI HERSI: USAJILI UMEKAMILIKA YANGA…KUANZA KUTAMBULISHWA
Wakati uongozi wa klabu ya Yanga ukijiandaa kumuongezea mkataba kiungo mshambuliaji wake Pacome Zouzoua, umetangaza kukamilisha na kufunga usajili wake msimu huu na sasa...
MWAMNYETO MZAWA ANAYEVUTA MPUNGA MREFU YANGA…MIL 300
NAHODHA na beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameongeza mkataba mwingine wa miaka miwili wa kuendelea kubakia hapo na mkataba huo Umefanya kuwa...
LOMALISA APEWA THANK YOU YANGA…AMFUATA ZAHERA
BAADA ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili kwa mafanikio sasa anatajwa kumalizana na Namungo FC kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ambacho...