Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

TUZO HII HAKUSTAHILI KUCHUKUA NZEGELI

0
0 Menu › Michezo › Mpira wa Miguu Maxi Nzengeli hakustahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi - Mchambuzi Fd Nzengeli Gamondi Maxi Nzengeli hakustahili tuzo ya mchezaji...

YANGA WAANZA NA TUNZO MAPEMAAAAAA, HAPA GAMONDI PALE NZEGELI

0
NYOTA wa Yanga, Maxi Nzengeli, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24, huku Miguel Gamondi wa Yanga,...

YANGA WAONYESHWA MWANGAZA WA USHINDI RWANDA

0
KIUNGO wa kimataifa wa Rwanda ambaye amewahi kukipiga ndani ya timu za Simba na Yanga, Haruna Niyonzima, amesema mbali na mapokezi makubwa ambayo kikosi...

VIONGOZI WA YANGA WATANGAZA KUFANYA KUFURU HII

0
Uongozi wa Young Africans umeweka wazi kuwa kwa sasa unataka kufanya kufuru ya kwenda anga za vigogo kama Pyramid na Al Ahly kwa kumwaga...

GAMONDI ATAMBA, AWEKA WAZI REKODI YAKE HII MPYA LIGI YA MABIGWA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amefichua kuwa, anafahamu timu hiyo ina rekodi mbaya kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kushindwa kucheza...

MAXI AMTAJA MAYELE KWENYE KIKSOSI CHA YANGA TAMAA YAKE IKO HIVI

0
Kiungo wa Yanga, Maxi Mpia Nzengeli ameweka wazi kutamani kucheza na Fiston Mayele katika kikosi cha Yanga tofauti na alivyoondoka. Maxi Nzengeli wakati anasajiliwa Yanga...

VIONGOZI WA SIMBA WAJITANGAZIA MAKOMBE, ISHU IKO HIVI YANGA WATAJWA

0
Kufuatia tambo za vinara wa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans kwa kuanza kwa kasi msimu huu 2023/24 katika vita ya kutetea...

MAXI NZEGELI ANABALAA WEWE, KIUNGO HUYU AFUNGUKA YALIYOWAKUTA JKT

0
Kiungo wa JKT Tanzania, Hassan Nassor Maulid ‘Machezo’ aliyesimama kati na kuchuana na Mudathir Yahya na Stephane Aziz Ki wa Young Africans katika mechi...

DIOUMBIA AIKALIA YANGA KOONI, WIKI MOJA BAADA YA KUREJEA NCHINI

0
Kwa mujibu wa Goal Africa, aliyekuwa beki wa Yanga, Mamadou Doumbia ametoa muda wa wiki moja kwa uongozi wa Yanga kumlipa stahiki zake. Doumbia aliyerejea...

NGOMA AWAPATA JEURI VIONGOZI WA SIMBA, SIRI YAFICHUKA…YANGA WAPIGWA ZA USO

1
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’, amefichua kuwa wana uwezo mkubwa wa kuweza kusajili mchezaji yeyote wanayemtaka ndani ya timu...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS