Tag: habari za yanga
KITAKACHOIPELEKA YANGA MAKUNDI CAF NI HIKI HAPA
Wakati Simba wakifanikiwa kucheza hatua ya makundi ya michuano ya CAF mara tano katika misimu sita iliyopita, wenzao Yanga ndani ya muda huo wametinga...
SIMBA NA YANGA WANA JAMBO LAO WIKIENDI HII.
WIKIENDI hii Yanga na Simba zina mechi za kuamua hatma zao katika michuano ya kimataifa kila mmoja akipambania rekodi zake.
Wakati wakipambania rekodi, kuna matumaini...
IMEFICHUKA MPANZU AFICHWA HOTELINI NA SIMBA…MO DEWJI AHUSIKA
WAKATI Simba inaendelea kujipanga kuwangβoa Waarabu wa Libya Al Ahli Tripoli, mabosi wa klabu hiyo wana akili nyingine kubwa na bilionea Mohammed Dewji βMOβ...
NAMBA ZA DUBE UWANJANI ZINAWAPA JEURI YANGA
NYOTA mpya wa Yanga, Prince Dube ana balaa zito ndani ya kikosi cha Yanga kwenye mechi ambazo anacheza licha ya kushindwa kufunga mabao mengi...
YANGA YA GAMONDI YAPIGA HESABU ZA MAKUNDI CAF
HUKU bado wakiwa hawajatinga hatua ya makundi wakisubiri mchezo wa marudiano hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi, ameanza...
YACOUBA SOGNE…BADO ANAUJUA SANA MPIRA
Wakati anapata jeraha kubwa la goti (ACL) na kukaa nje kwa miezi 9, wengi walitafasiri ni mwisho wa Yacouba. Si hivyo tu, ikatokea anaachwa...
HATIMAYE MTASINGWA AJIBU KUHUSISHWAA NA YANGA
KIUNGO wa Azam FC Adolf Mtasingwa, amejibu ule uvumi wa taarifa za yeye kujiunga na Yanga katika dirisha kubwa la usajili.
"MUDA ndio muamuzi wa...
GAMONDI AYAONA MABAO MENGI ZANZIBAR
YANGA imeondok leo majira ya saa 3:00 asubuhi kelekea Zanzibar tayari kwa mchezo wa marudiano wa raundio ya pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika...
BREAKING NEWS…FEI TOTO AIKATAA AZAM…AZIINGIZA VITANI SIMBA NA YANGA
Kiungo wa kimataifa wa Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei Toto) amepiga chini ofa ya pili kutoka Azam ambayo ilimtaka kuongeza mkataba mpya.
Kwa sasa Fei...
KUMNUNUA FEI TOTO NI BIL 1.3…SIMBA, YANGA ZAPIGANA VIKUMBO
SIKU za hivi karibuni kumeibuka taarifa za mchezaji wa Azam FC Feisal Salum Fei Toto, kuhitajika na vilabu vikubwa ndani na nje ya nchi...