Home Tags LIGI KUU

Tag: LIGI KUU

BENCHIKHA AWATULIZA WANASIMBA AFUNGUKA HAYA

0
Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amewatuliza wanachama na mashabiki wa klabu hiyo akisema nafasi ya kwenda robo fainali kutoka Kundi B la Ligi...

LIGI KUU SIO KITOTO TENA SIMBA,YANGA JUMAMOSI HII

0
Baada ya kukamilisha majukumu yao ya Kimataifa kwa ushindi mnono, wawakilishi wa nchi katika mashindano ya Klabu Bingwa, Simba SC na Yanga SC, wanarejea...

UNAAMBIWA HUYO AYOUB WA SIMBA BADO HAJAANZA BALAA LAKE

0
Kocha wa makipa wa Simba, Dani Cadena amesema kiwango kinachoonyeshwa na kipa Ayoub Lakred ni asilimia ndogo na mashabiki wa kikosi hicho watarajie mambo...

MTIBWA NAE KAPATA PA KUFUFUKIA

0
Klabu ya Mtibwa Sugar imetumia vyema uwanja wake wa Manungu Complex baada ya kuifunga Mashujaa mabao 2-1, katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Katika mchezo...

JE’ MASHABIKI WANAIJUA YANGA KULIKO GAMONDI?

0
Mpira wa kisasa umebadilika vitu vingi. Zamani wachezaji walikuwa wanacheza kwa namba uwanjani. Siku hizi sio hivyo. Ni mwendo wa kupewa majukumu. Ndiyo maana...

CHAMA KWISHA MANENO HANA JAMBO SIMBA DAKIKA ZAKE NI HIZI TU

0
Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars na vilabu vya Yanga na Simba, Bakari Malima 'Jembe Ulaya' amesema kuwa, kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama...

KISA AZIZI KI ALLY KAMWE AWAJIA JUU WACHAMBUZI

0
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amehoji kuhusu wachambuzi kutozungunzia uwezo wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephane Aziz Ki ambaye mpaka sasa...

SASA AZIZ KI NA ISHU YA KIATU CHA UFUNGAJI BORA LIGI...

0
Tangu alipoondoka Feisal Salum kwenye kikosi cha Young Africans kiungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso, Aziz Ki amekuwa na kiwango bora sana akiwa kwenye...

KIRAKA MPYA WA YANGA APEWA MITIHANI MITATU CHAP

0
Yanga tayari ina uhakika wa kupata huduma ya kiraka kutoka Zanzibar, Shekhan Ibrahim Khamis, lakini fundi huyo mpya ana mitihani mitatu ndani ya kikosi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS