Tag: morocco
WAKATI WOWOTE SASA SIMBA WANAMTAMBULISHA KIPA HUYU
Klabu ya Simba wanatarajia muda wowote kumtangaza kipa raia wa Morocco, Ayoub Lakred, aliyehudumu takribani misimu minne katika klabu ya mabingwa wa Morocco msimu...
ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA, NABI ATUA FAR RABAT YA MOROCCO
Aliyekuwa kocha wa Yanga Nasreddine Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili kuwafundisha Mabingwa wa Ligi Kuu ya Morocco FAR Rabat.
Nabi amesaini mkataba huo jana...