Uchaguzi Mkuu wa Simba: Julio, Mkwabi na Sasali Wachukua Fomu TFF
Pazia la zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya klabu ya Simba SC limefungwa rasmi leo katika…
Pazia la zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya klabu ya Simba SC limefungwa rasmi leo katika…
Mchakato wa kuelekea Uchaguzi Simba SC umezidi kushika kasi baada ya mwanachama maarufu wa klabu hiyo, Hassan Bakari Kakayoo maarufu kama ‘Mzee wa Salute’, kujitokeza…
DAR ES SALAAM: Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC imepinga vikali utaratibu uliotumiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira…
Klabu ya Simba SC imetangaza rasmi tarehe ya kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa Kawaida wa wanachama wake, ambao miongoni mwa ajenda zake kuu zitakazojadiliwa ni…
Kamati ya Uchaguzi ya Simba ilipotangaza kuwa kura zitapigwa Januari 3, 2027, Murtaza Mangungu akauliza nani mwenye mamlaka ya kuwaita wanachama kwenye Mkutano Mkuu. Swali…
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeamua kuingilia kati na kusimamia moja kwa moja mchakato wa uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba SC, kufuatia kubainika kwa…
Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu, amewatoa hofu mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kwa kusisitiza kuwa kikosi hicho hakimhofii mpinzani yeyote katika hatua ya…
Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu, amewatambia watani zao wa jadi, Yanga, akisisitiza kuwa ushindi wao mtamu wa mabao 2-1 katika Dabi ya Kariakoo haukuwa…
UONGOZI wa klabu ya Simba SC umeamua kusimamisha kwa muda mchakato wote uliokuwa ukiendelea kuelekea uundwaji wa Baraza la Wadhamini, kufuatia maamuzi yaliyofikiwa katika kikao…