Home Tags Simba SC

Tag: Simba SC

MANGUNGU NA MO DEWJI WAPIGIANA MAKOFI.

0
MWENYEKITI wa Simba Murtaza Mangungu amemshukuru Muwekezaji wapiga timu hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mohammed Dewji “MO Dewji” kwa...

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA SIMBA LEO…MO DEWJI AOMBA MCHAKATO WA MABADILIKO...

0
MOHAMED DEWJI Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba na Rais wa Heshima wa klabu hiyo amesema kuwa, ili mambo ya maboresho ya Simba...

HATIMAYE MO DEWJI ATAMBULISHA MCHORO WA UWANJA WA SIMBA

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mo Dewji hii leo amezindua rasmi ramani ya mchoro wa kambi mpya ya Simba iliyopo Bunju jijini...

MO DEWJI KUONGOZA MKUTANO WA SIMBA LEO

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, MO Dewji leo atakuwepo kuuongoza mkutano mkuu wa mwaka wa Simba Sports Club utakaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa...

SALEH JEMBE AMSHAURI CAMARA…LICHA YA KUFUNGA AMSHAURI JAMBO

0
Karibu Tanzania Moussa Pinpin Camara, wewe si kipa bora wa kwanza kufungwa Tanzania, nikuahidi. UTAFUNGWA TENA.. Hakuna KIPA ASIYEFUNGWA lakini gumzo huwa ni amefungwaje. Mabao...

SIMBA YA MO DEWJI NI UBAYA UBWELA.

0
BAADA ya klabu ya Simba kumtambulisha rasmi winga wa Kimataifa wa DR Congo Ellie Mpanzu, baada ya kusajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili ambaye...

SIMBA YAAMBULIA MEDALI…YANGA YASHINDWA KUTWAA NDOO

0
Timu ya wanawake ya Simba SC, Simba Queens imefanikiwa kushinda nafasi ya tatu baada kuichakaza bila huruma magoli manne bila majibu timu ya CEASIAA...

SI MLISEMA WAZEE…KAZI IMEANZA YANGA

0
MABINGWA watetezi wa Ligi kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC hii leo imeibuka na ushindi mnono wa bao 4-0, ikiwa ni mara ya...

SIMBA BAADA YA USAJILI WAITAKA ROBO FAINALI

0
AHMED Ally Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba amesema kuwa, timu hiyo imesajili vizuri zaidi msimu huu hivyo malengo yao ya kutinga hatua ya...

PAUL MKAI ACHAGUA KUANZA NA CHASAMBI MBELE YA MUTALE.

0
Mtangazaji na mwandishi wa habari za michezo nchini, Paul Mkai amesema kwamba ukiwaweka wachezaji wawili wa Simba Joshua Mutale na Ladack Juma Chasambi, basi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS