Tag: Simba SC
AWESU ARUDI SIMBA USIKU WA MANANE
Klabu ya KMC imethibitisha kufikia makubaliano na Simba SC juu ya uhamisho wa mchezaji Awesu Ali Awesu ambaye awali KMC walimuwekea pingamizi kucheza Simba...
SIMBA YATUMIA MAMILIONI USAJILI WA ATEBA…MWENYEWE AFUNGUKA
SIMBA imeshamshusha straika mpya Leonel Ateba baada ya kufikia makubaliano na USM Alger ya Algeria kwa ajili ya uhamisho wa raia huyo wa Cameroon...
ATEBA AMTOA AYOUB SIMBA..FADLU AONGEZA MWINGINE BENCHI LA UFUNDI.
Baada ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji Leonel Ateba, Uongozi wa Simba umefikia makubaliano ya kumalizana na Ayoub Lakred kwa lengo la kupisha usajili huo.
Ayoub...
KWA TAKWIMU HIZI STRAIKA MPYA SIMBA…ANA KAZI YA KUFANYA…GEFLEA AMCHAMBUA
Leonel Ateba ni jina la usajili mpya wa Simba ambaye wamemsajili kutokea klabu ya USM Alger tena kwa gharama kubwa.
Takwmi za ufungaji za Ateba...
VILABU 10 BORA KWA MUJIBU WA CAF…SIMBA WAMO
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25.
Miongoni mwa Vilabu bora kwa sasa Afrika, Simba inashika...
GUEDE AWAPIGA MKWARA YANGA…WAPINZANI WANGU.
MSHAMBULIAJI mpya wa Singida Black Stars, Joseph Guede aliyekuwa akikipiga Yanga msimu uliopita amechimba mkwara mapema akisema anatarajia msimu bora kutokana na wachezaji waliopo.
Guede...
AWESU AWEKA NGUMU KMC…SIMBA YAONGEZA DAU LA USAJILI KUMBAKIZA
KMC tayari wameshamtoa AWESU AWESU kwenye mipango yao kuelekea msimu ujao na Nahodha wao mpya ni KENNY ALLY MWAMBUNGU, kilichopo sasa kati yao ni...
TATIZO LA SIMBA WALA SIO STRAIKA…INSHU IKO HIVI
Inawezekana ni kweli kocha Fadlu Davids anaona wachezaji hawampi kile anachokihitaji kwa sasa, lakini ukweli ni kwamba hajaliangalia tatizo la msingi la timu hiyo...
SAKATA LA AWESU NA SIMBA LIPO HIVI…KIJANA AGOMA KURUDI
Dili la Kiungo Awesu limewapalia Simba baada ya KMC kukimbilia Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka (TFF), kushtaki kuwa,...
ISHU YA NGOMA SIMBA IPO HIVI…WAARABU WAMUITA CHAP
Taarifa ambazo tunazo zinabainisha kwamba Mchezaji wa Simba Fabrice Ngoma anayecheza nafasi ya kiungo mkabaji maisha yake yanaweza yasiwe marefu klabuni hapo baada ya...