HUYU BALEKE SASA MTAKOMA,…..GAMONDI AINGIZA GIA MPYA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Mchambuzi nguli wa masuala ya soka nchini, Shaffih Dauda amewaponda baadhi ya mashabiki wa Klabu ya Simba ambao wamekuwa na tabia ya kulalamika kuwa timu…
Nyota mpya wa Simba SC, Aubin Kramo yupo nchini na hajaenda kutibiwa nchini kwao kama ilivyoripotiwa awali. Akizungumzia hali yake, Meneja wa Habari na Mawasiliano…
Baada ya kupata ushindi mnono dhidi ya Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu ya NBC, Wekundu wa Msimbazi Simba SC akili yao wanaielekeza kwenye…
Mashabiki wa Simba na viongozi wakati huu kila mmoja anatafuta mchawi katika kikosi kutokana na kuruhusu mabao manne katika mechi tano ilizocheza. Simba imecheza mechi…
Taarifa mpya kutoka ndani ya Simba SC ni kwamba beki wao Henock Inonga anaendelea vizuri na kwamba hajavunjika. Inonga aliumia kwenye mchezo dhidi ya Coastal…
Beki kisiki wa Simba SC, Henock Inonga amejikuta akikimbizwa hospitali baada ya kupata majeraha wakati wa mechi dhidi ya Coastal Union inayoendelea leo Septemba 21…
Straika wa Simba SC, Jean Baleke amesema leo, watawashushia mvua ya magoli Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Simba SC anashuka dimbani…
Kocha wa Zamani wa Simba SC Jamhuri Kiwelu Julio amefunguka kuhusu swala la mabeki waaandamizi Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuwa wamechoka yeye anaamini ninkweli…
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Alhamisi, Septemba 21, 2023 kwa michezo miwili kupigwa Dar es Salaam. ‘Wekundu wa Msimbazi’, Simba itakuwa mwenyeji wa ‘Wanamangushi’,…