Tag: soka la bongo
UNAAMBIWA MTIBWA SUGAR WAAMKA NA SIMBA SC…. ISHU IKO HIVI
Timu ya Mtibwa Sugar kutoka Morogoro, imetamba kuibuka na ushindi katika mchezo wao wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 dhidi ya Simba...
SOKA LA GAMONDI LAWAIBUA MABOSI YANGA, ISHU IKO HIVI
MABOSI wa Yanga wameumizwa na kitu kimoja tu juzi, kupoteza taji la Ngao ya Jamii ambalo walilishikilia kwa misimu miwili, lakini kuna kauli ya...
ROBERTINHO AMCHIMBA MKWARA GAMONDI BAADA YA KUMPORA NGAO YA JAMII
KOCHA wa Simba Roberto Oliveira ‘Robertinho’ kabla kidonda hakijapoa ametuma salamu ya vitisho kwa watani wao Yanga akiwaambia Ngao ya jamii imetangulia tu watayatema...
MECHI 3 TU, YANGA YACHANA MKATABA WA MAXI, PIA YAMUITA BEKI...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
HATUJAMALIZAAAA….. CHUMA HIKI HAPA KINAKUJA SIMBA, NI MKATA UMEME HASWA, PHIRI...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
DIAMOND NAE AFUNGUKA HAYA BAADA YA YANGA KUPORWA NGAO YA JAMII
Supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amesema kuwa hana mpango wa kuihama klabu yake ya Yanga licha ya kupoteza mchezo wa Ngao ya jamii...
YANGA WAPIGA MOYO KONDE KUHUSU NGAO YA JAMII, WAELEKEZA NGUVU HUKU,...
Uongozi wa Young Africans, umebainisha kuwa, timu yao itarejea ikiwa imara, huku wakihamishia nguvu kwenye mashindano mengine ikiwa ni Ligi Kuu Bara, Kombe la...
MAKOCHA SIMBA, YANGA, AZAM WAKOSA SIFA, TFF YACHUKUA MAAMUZI MAGUMU
Kocha Mkuu wa Azam FC Youssouf Dabo ameondolewa kwenye orodha ya Makocha watakaokaa kwenye Mabenchi ya Ufundi wakati wa Michezo ya Ligi Kuu Tanzania...
MUAMUZI WA SIMBA vs YANGA AFUNGUKA UTATA KUHUSU PENATI ZA SALIM...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Salum Umande Chama, amevunja ukimya kutokana na utata uliojitokeza baada ya mchezo wa Ngao ya Jami, kati ya...
ALLY KAMWE AFUNGUKA HISTORIA HII MBAYA KWA YANGA
Klabu ya Yanga SC imekiri kwamba ina historia mbaya kwenye michuano ya Kimataifa kwani ina zaidi ya miaka 20 haijawahi kufika hatua ya Makundi...