Tag: soka la bongo
YANGA, SIMBA LIGI YA MABINGWA NUSU FEDHEA NUSU HESHIMA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga bado wako kwenye hatihati ya kuingia hatua ya robo fainali ya...
KAMA YANGA WANAITAKA ROBO FAINALI WAMUACHE GAMONDI KWENYE HILI
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' pamoja na vilabu vya Yanga na Simba, Bakari Malima 'Jembe Ulaya' ametoa maoni...
GAMONDI PRESHA TUPU, BAADA YA WABONGO KUMGEUZIA KIBAO YANGA
Nilitegemea siku moja kocha wa mpira, Miguel Gamondi atafahamu vizuri tabia ya mashabiki na watu wa mpira hapa Bongo baada ya mwanzo wake mtamu...
MANGUNGU AWAPA NENO MASHABIKI WA SIMBA BAADA YA USHINDI A JANA
Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu, amesema timu yao imepitia kipindi kigumu cha kukosa matokeo lakini sasa wameanza kuyapata hivyo mashabiki waiunge mkono timu.
Amesema...
ISHU YA PENATI YA SIMBA KURUDIWA IPO HIVI
Mchambuzi wa soka Amri Kiemba, ameainisha kwa nini penalti kwenye mchezo wa Simba dhidi ya Kagera iliyochezwa jana katika Uwanja wa Uhuru ilirudiwa.
Amesema kurudiwa...
UNAAMBIWA SIMBA WALICHEZA PIRA GIMBI DHIDI YA WYDAD MCHAMBUZI AFUNGUKA HAYA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka EA Radio, Ibra Kasuga amesema kuwa, Timu ya Simba haikucheza mchezo wowote mzuri kwenye mechi yao ya...
SIMBA WAITISHA MKUTANO MKUU KISA HIKI HAPA
Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Sports Club imewataarifu wanachama wake kuwa Mkutano Mkuu wa Mwaka utafanyika Jumapili Desemba 21, 2023 katika Ukumbi wa Julius...
YANGA HAWATAKI MCHEZO DIRISHA DOGO….. WAJA NA BALAA HILI
Klabu ya Young Africans imepanga kusajili wachezaji nyota wapya ili kukiongozea nguvu kikosi chao kinachohitaji kufanya vizuri katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Barani...
SIMBA NA ADEBAYOR BILA KUCHOKA
Kikosi cha Simba kinatarajia kushuka uwanjani jioni ya leo Ijumaa kuvaana na Kagera Sugar, huku mabosi wa klabu hiyo wakirudisha hesabu zao kwa nyota...
YANGA NAO WAONJA LADHA YA USHINDI
Baada ya kucheza mechi nne mfululizo bila kupata ushindi, timu ya vijana ya Yanga (u-20), juzi ilishinda kwa mabao 3-2 mbele ya Tanzania Prisons...