Home Tags Soka la bongo

Tag: soka la bongo

KOCHA TAIFA STARS ALIVYOAMUA KUBADILI UPEPO KAMA UTANI

0
Zimebaki siku chache sana kabla ya kuanza kwa fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) ambazo zitafanyika huko Ivory Coast, mwakani kuanzia Januari 13 hadi...

SANKARA AFUNGUKA KILA KITU KUHUSU YANGA

0
Mshambuliaji wa Asec Mimosas, Karamoko Sankara hatimaye amefunguka dili lake na Yanga huku akisema kuwa amekuwa akiwapigia simu wachezaji wa sasa wa Yanga, Pacome...

MWAMBA HUYU HAPA ASAINI MIAKA MIWILI

0
Winga wa zamani wa Simba, Augustine Okrah sasa ni rasmi ametua Yanga, huku taarifa za ndani zikidaikuwa amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu...

GAMONDI ATUMIA DIRISHA DOGO KUWANYOOSHA MASTAA YANGA

0
Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Gamondi amewatega wachezaji wake kwa kuwaambia kuwa mchezaji atakayeshindwa kuonyesha kiwango bora katika Kombe la Mapinduzi, basi safari...

YAYA AJA NA UTABIRI HUU USHINDI AFCON

0
Kiungo wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya Touré atoa utabiri wake wa Timu za Taifa zenye nafasi ya kushinda kombe la Mataifa...

KIRAKA HUYU KUTOKA SIMBA KUTUA KAGERA SUGAR

0
Kiraka Nasoro Kapama aliyesimamishwa na klabu yake ya Simba kwasababu ya utovu wa nidhamu anahitajika na Kagera Sugar. Kiraka Nasoro Kapama aliyesimamishwa na klabu yake...

KAMA UTANI ILA NDIO IVO ZIDANE WA BONGO KATEMWA HUKO

0
Kiungo fundi wa Yanga, Pacome Zouzoua "zidane wa Bongo" ameachwa kwenye kikosi cha Mwisho cha Ivory Coast kitakacho shiriki michuano ya Africa Cup of...

CHAMA,MUSONDA WAREJEA ZAMBIA….. ISHU IKO HIVI

0
Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC ,Clatous Chama pamoja na mshambuliaji wa Klabu ya Yanga SC ,Kennedy Musonda ni sehemu ya wachezaji walio...

YANGA WAKOMAA NA PACHA WA NZEGELI…. ISHU IKO HIVI

0
Klabu ya Union Maniema imenogewa na biashara na Yanga na sasa iko kwenye hatua za mwisho kumwachia winga fundi ambaye alikuwa pacha wa Maxi...

KOCHA SIMBA APIGILIA MSUMARI SAKATA LA CHAMA

0
Kocha wa zamani wa Simba SC, Patrick Phiri raia wa Zambia amesema klabu ya Simba inapaswa sasa kufikia hatua ya kuachana kabisa na mchezaji...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS