Tag: soka la bongo
GAMONDI, MBRAZILI MIKWARA MINGI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
AZIZ KI AFUNGUKA KUHUSU DABI YA KARIAKOO……. AIHAKIKISHIA YANGA USHINDI
Kiungo mshambuliaji wa Yanga ambaye yupo kwenye kiwango bora hivi sasa, Stephane Aziz Ki, amesema amejiandaa kucheza kwa kupaniwa katika Kariakoo Dabi, huku akibainisha...
SHABIKI WA YANGA ALIYEPOKEA KIPIGO NA MASHABIKI WA SIMBA AFUNGUKA TUKIO...
Jumamosi ya Oktoba 28 Timu ya Simba ilikuwa wenyeji wa Ihefu katika Uwanja wa Mkapa mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Mchezo huo uliokuwa na vuta...
KUELEKEA DABI YA KARIAKOO MASTAA HAWA SIMBA SASA NI MTEGO
Simba ipo kambini ikijifua na mechi ijayo ya Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga lakini mastaa wawili wa Mnyama, washambuliaji Moses Phiri na Luis Miquissone...
WAJUMBE WAPYA WA SIMBA WAANZA NA HILI
Baada ya kuteuliwa kuwa mịumbe wa Bodi ya Baraza la Ushauri Simba SC, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ ameahidi kuhakikisha lengo mama la kuisaidia klabu hiyo...
HUKO AZAM SIO POA UNAAMBIWA MASTAA HAWAMTAKI KOCHA…….HUKU MABOSI NAO WAZIBA...
Hatimaye jinamizi la makocha kukataliwa na wachezaji wa Azam FC limeibuka tena kama ambavyo hutokea kila mwaka.
Katika umri wake wa miaka 15 kwenye Ligi...
MASTAA HAWA UANGA WAITAMANI SIMBA KUFA KUPONA DABI YA KARIAKOO
Wakati kiungo mshambuliaji wa Yanga kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Maxi Nzengeli akisema anajisikia furaha kuona mabao aliyofunga katika mechi ya Ligi...
HIYO DABI YA KARAKOO SIO POA MAXI APEWA GARI MAPEMA
Yanga iko kambini kwaajili ya maandalizi ya kukutana na watani wao wa jadi Simba, kiungo wao Maxi Nzengeli amepata mzuka wa aina yake haswa...
SIMBA WANAIHOFIA YANGA, ISHU IKO HIVI
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Ea Radio, Martin Mwakiposa amesema kuwa mashabiki wa Klabu ya Simba wanahofia mziki wa wapinzani wao Yanga...
AZIZ KI ATAMBA YANGA, ABEBA MILIONI 4 KIBOSI
Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba ndani ya Yanga SC baada ya kuwashinda Dickson Job na Max Nzengeli ambao...