Tag: soka la bongo
DOH GUARDIOLA NDIO BASI TENA MAN CITY
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola amesema “amefunga ukurasa” katika klabu hiyo ya Ligi ya Premia baada ya kushinda Kombe la Dunia la Vilabu.
City...
MWAMNYETO ALIANZISHA YANGA… ATAKA KUTUMKIA HUKU
Taarifa kutoka kwa watu wa Nahodha wa kikosi cha Yanga Sc, Bakari Mwamnyeto zinaeleza kuwa huenda akatimka ndani ya kikosi hicho cha wananchi mwishoni...
HUU HAPA MUONEKANO MPYA WA UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR
MASHABIKI wa soka visiwani Zanzibar kwa sasa akili na hamu yao kuu ni kushuhudia michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 inayotarajiwa kuanza rasmi Alhamisi...
SIMBA INAZIDI KUJICHIMBIA KABURI LIGI KUU
SIMBA inazidi kujiweka kwenye mazingira magumu ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na KMC kwenye mchezo...
YANGA SIO KINYONGE….. WAFUNGA MWAKA KWA MTINDO HUU
BINGWA mtetezi Yanga bado anaendelea na safari yake akitaka kutetea taji lake la tatu mfululizo la Ligi Kuu Bara baada ya kushinda mchezo wake...
KLABU BINGWA ZA DUNIA MPINZANI WA YANGA AIBUKIA NAFASI YA TATU
Wapinzani wa Yanga kundi D kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri, imemaliza nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Kombe...
HIKI KIKOSI CHA SASA TAIFA STARS SIO POA
Muda wowote kuanzia sasa magari ya maofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) yatakuwa yanapishana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
KASI YA BENCHIKHA YAWASHITUA MAKOCHA
Mechi nne alizokaa benchi kocha wa Simba, Abdelhak Benchikha zimetuliza upepo ndani ya timu hiyo na mashabiki kuanza kufurahia kinachoonyeshwa na mastaa wao uwanjani,...
MABOSI YANG WAFUNGUKA USAJILI WA MSUVA
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Saimon Msuva. WANANCHI kuna bomu wanataka kulitengeneza kupitia dirisha hili dogo la usajili nalo ni kushusha mashine...
VIGOGO HAWA WA SIMBA WANAPUMUA SASA BAADA YA MSALA HUU
Presha ilikuwa kubwa sana kwa wazee wangu wale wawili, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Murtaza Mangungu ndani ya Simba Sports Club.
Baada ya Simba kupitia...