Tag: soka la bongo
KOCHA NABI, MORISSON WATUPWA NJE YA DIMBA FAR RABAT HAWANA CHAO
Miamba ya Morocco, FAR Rabat inayonolewa na aliyekuwa Kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha...
BAADA YA MIAKA 25 YANGA YAANDIKA TENA HISTORIA HII
Yanga imeondoa gundu la kushindwa kutinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa miaka 25 iliyopita baada ya kutinga kibabe kwa kuing'oa Al Merrikh...
NA NYIE NJOONI….SHOO YA HESHIMA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
MERIDIAN WAIBUKIA KIJITONYAMA
Meridianbet wameibukia Zahanati ya kijitonyama na kama ilivyo kawaida yao haikua shughuli nyingine bali ilikua ni kurudisha kwenye jamii yake inayowazunguka, Ambapo walifanikiwa kutoa...
MWAMBA HUYU HAPA KUTOKA CHIPOLOPOLO AIUNGA MKONO POWER DYNAMO DHIDI YA...
Gwiji wa Timu ya Taifa ya Zambia 'Chipolopolo' na TP Mazembe, kiungo fundi Rainford Kalaba ameiunga mkono Power Dynamos kuifunga Simba SC ya Tanzania...
WACONGO WAMSHTUA GAMONDI AFANYA MABADILIKO HAYA
Dakika 90 za mechi ya ugenini ya Al Merrikh ya Sudan na AS Otoho ya Congo Brazaville zimemshtua Kocha Miguel Gamondi akalazimika kuongeza nguvu...
POWER DYNAMO HOFU YATANDA ISHU IKO HIVI
Kikosi cha Power Dynamos kimeingia nchini jana kwa pambano la marudiano la raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba, huku...
YANGA WAFANIKIWA KUIINGIZA AL MAREIKH KWENYE MFUMO
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa Radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa Klabu ya Al-Merrikh ya Sudan wamekubali...
AL MAREIKH WAJA NA MATOKEO YAO HAYA DHIDI YA YANGA
Kocha Mkuu wa Al Merrikh, Osama Nabieh amechimba mkwara mzito kuwa licha ya ubora wa kikosi cha Young Africans, wamejipanga kupindua meza na kutinga...
ROBERTINHO AMESIKIA KILIO CHA MASHABIKI,AAHIDI HAYA
Kuelekea mchezo dhidi ya Mabingwa wa Soka nchini Zambia Power Dynamos, Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliviera amewapa jukumu zito viungo wake.
Simba SC...