Tag: soka la bongo
UNAAMBIWA GAMONDI HATAKI UTANI AHAMISHIA MAJESHI UPANDE HUU
BAADA ya kufanikiwa kwenye safu ya ushambuliaji, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Angel Gamondi amehamisha silaha zake kwa safu ya ulinzi kuwa makini na...
SKUDU APEWA MASHARITI HAYA NA GAMONDI
Kama wewe ni shabiki wa Yanga na ulikuwa unajiuliza kwanini winga kutoka Sauzi, Mahlatse ‘Skudu’ Makudubela hachezi licha ya kupona kutoka majeraha, basi kuna...
SIMBA YACHAPWA FAINI NA BODI YA LIGI KISA HIKI HAPA
Klabu ya Simba SC imepigwa faini ya shilingi million moja (1,000,000/=) na bodi ya ligi TPLB.
Hii ni baada ya maafisa wake usalama kumfanyia vurugu...
MASAUBWIRE ARUKA NA SIMBA, YANGA KISA HIKI HAPA
Afisa Habari wa JKT Tanzania Masau Bwire, amesema sio sahihi kwa wadau wa soka la Bongo kuamini Simba SC na Young Africans ndizo zina...
HUYU GAMONDI SASA NI HATARI NI DOZI JUU YA DOZI AFANYA...
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi katika kuhakikisha anapata ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya Al Merrikh, kesho Jumamosi ameonekana kuwaongezea dozi ya mazoezi wachezaji...
MASHABIKI WA POWER DYNAMO WATINGA DAR
Mashabiki wa Klabu Bingwa nchini Zambia Power Dynamos wapo safarini kuelekea jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuishangilia timu yao, itakayokabiliwa na mchezo...
AUCHO APIGIWA SALUTI NA MWAMBA HUYU
Tanzania imebarikiwa kuwa na wachezaji wengi bora katika eneo la kiungo sio bara tu hadi visiwani Zanzibar ambako kwa hakika kumekuwa kukitoa wakali wengi...
NGOMA NA MKUDE WAWEKWA JAHAZI MOJA KISA HIKI HAPA
Kwa sasa mashabiki wa Simba wako katika kilele cha furaha kutokana na kiwango ambacho kinaonyeshwa na Kiungo Mkongomani Fabrice Ngoma tangu atue hapo Unyamani.
Fabrice...
GAMONDI AWAAMSHIA MABEKI YANGA KISA HIKI HAPA
Wakati Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wakitarajia kuchuana na Al Merrikh keshokutwa Jumamosi (Septemba 30), Kocha Miguel Gamondi, amewataka mabeki wake kuongeza...
ROBERTINHO AITISHA KIKAO CHA DHARULA SIMBA KISA HIKI HAPA
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefanya kazi ya ziada ya kukutana na mchezaji mmoja mmoja ili kufanikisha mipango ya kushinda mchezo...