Tag: soka
AHAMED ALLY AWEKA WAZI KILICHOMPELEKA GAMONDI KWENYE MECHI YA SIMBA JANA
Ofisa Habari wa Klabu ya Simba Sc, Ahmed Ally amesema kuwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi alikwenda jana kwenye Dimba la Mkapa kujifunza...
SIMBA HII KUNA KITU HAKIPO SAWA
Ni umakini kwenye safu ya kiungo, ulinzi na mlinda mlango wa Simba hawa ni tatizo ndani ya mechi tano mfululizo ambapo iliruhusu jumla ya...
VIKOSI VYA LEO SIMBA vs IHEFU HIVI HAPA, HUKU REKODI IKIMBEBA...
Kikosi cha Simba SC leo Oktoba 28 watakuwa na kibarua mbele ya Mbogo Maji kutoka kule Mbeya Kikosi cha hefu mchezo wa Ligi Kuu...
AHMED ALLY AWAPIGA YANGA NA KITU KIZITO KIMYAKIMYA
Mara baada ya kuondolewa na Al Ahly ya nchini Misri katika michuano ya African Football League (AFL), Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba,...
KIBU KWA SIMBA ATAKIPIGA SANA MWAMBA HUYU HAPA ATIA NENO
Beki wa zamani wa Simba, Boniface Pawasa amewapa ukweli mashabiki wa timu yake wanaomsonya kiungo wao mshambuliaji Kibu Denis akisema jamaa atacheza sana kwenye...
UNAAMBIWA AZIZI KI NDIO KINARA WA MAGOLI YA NAMNA HII
Baada ya Stephane Aziz Ki kufunga mabao matatu ‘hat-trick’ katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Benjamin...
ROBERTINHO AMTAJA STAA HUYU KUWA NDIO KARATA YAKE KIKOSINI SIMBA
Kocha wa Simba, Oliviera Robertinho amesema moja ya silaha muhimu alizonazo kwenye kikosi chake ni Kibu Denis ambapo anaweza kumbadilisha kumpa jukumu lolote gumu...
HAO YANGA vs SINGIDA VIKOSI VYAO LEO SIO POA
Kwa vikosi na takwimu zilivyo leo lazima mtu aseme sana kwenye Uwanja wa Mkapa, Yanga itakavyowakabisha Singida kwenye mechi ya Ligi. Dakika 90 za...
BANGALA AMKINGIA KIFUA FEI TOTO
Kiungo wa Azam Yannick Bangala amefurahishwa na kiwango cha Feisal Salum ‘Fei Toto’ akisema jamaa ameanza kuwa mtamu huku akimpa ushauri juu ya mashabiki...
YANGA SASA WAWATAMANI AL AHLY BAADA YA SIMBA KUSHINDWA KUTAMBA
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa, umetumia mchezo wa Simba kuwasoma wapinzani wao, Al Ahly ambao watakutana katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu...