Tag: soka
HII HAPA NDIO MITEGO MIWILI YA YANGA
Yanga haijaruhusu bao lolote mpaka sasa kwenye ligi na inachofanya ni kuendelea kushusha vipigo vyenye ujazo tofauti lakini mitego miwili inayowapa shida wapinzani imejulikana.
Ikiwa...
SIMBA YAWASHANGAZA POWER DYNAMO
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wala hauna haja ya kupiga makelele mengi juu ya timu yao na wanachokifanya ni kuendelea kushinda mechi zao...
AL MAREIKH HAWA HAPA NCHINI KWAAJILI YA YANGA
Wapinzani wa Yanga katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Merrikh ya Sudan, wanatarajiwa kuwasili Dar es Salaam, kesho Jumatano.
Msafara wa...
BAADA YA KUANZA VIBAYA NYONI AFUNGUKA MIPANGO YA NAMUNGO
Kiungo wa Namungo FC, Erasto Nyoni amesema licha ya kuanza vibaya michezo yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara lakini anaamini watafanya vizuri msimu huu...
YANGA WASANUKIA MTEGO HUU WA AL MAREIKH
Ofisa Habari wa Yanga, Alikamwe amedai kuwa wapinzani wao Al Merrikh wameanza kuwasifu kuwa Wananchi wanaogopeka Afrika wao wamesoma Cuba wanajua huo ni Mtego
"Tumesikia...
GAMONDI APEWA WAKATI MGUMU NA MWAMNYETO
Kikosi cha Yanga, kinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh...
YANGA WAJA NA JAMBO HILI JIPYA KWENYE MARUDIANO NA AL MAREKH
Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema mchezo wao wa marejeano dhidi ya Al Merekh ya Sudan siku ya Jumamosi Septemba 30, 2023,...
MAYELE HALI IMEBADILIKA PYRAMIDS
Straika wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ameendelea kuwa na mwanzo mbaya Pyramids baada ya kucheza mechi mbili za ligi bila kufunga wala kupiga...
HALI YA KRAMO IKO HIVI SIO WIKI MBILI TENA
TAARIFA njema kwa mashabiki wa Simba kuwa winga wao Muivory Coast, Aubin Kramo amepata nafuu ya majeraha yake na atarejea uwanjani baada ya wiki...
HIZI SALAMU ZA SIMBA KWA WAZIMBIA SASA NI KUTISHANA HUKU
Leo Septemba 26 Timu ya Simba imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Pan African na kuibuka na ushindi wa magoli 4-0.
Simba wako katika maandalizi...