Tag: soka
BEKI HUYU WA SIMBA APANDISHA MIZUKA SUPER LEAGUE
Beki wa Simba, Shomary Kapombe amesema ushiriki wa timu hiyo katika michuano ya African Football League yatazidi kuifanya timu hiyo iwe bora zaidi kimataifa...
HAYA SASA NI SIMBA HAPO SEPTEMBER 14
Wawakilishi wa Tanzania Bara Kimataifa Simba SC wanatarajia kuondoka nchini Septemba 14, mwaka huu kuelekea Zambia kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa...
KRAMO TIA MAJI TIA MAJI MAPYA YAIBUKA SIMBA
Nyota wa Simba SC Aubin Kramo amepata majeraha ya goti kwenye mchezo wa kirafiki hii leo dhidi ya Ngome FC mchezo ambao Simba waliibuka...
RWANDA KUMENOGA ZOUZOUA, MAXI WAKABIDHIWA MIKOBA
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema anaamini timu yake itatinga Hatua ya Makundi ya mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
BOCCO APITA NJIA ZA KINA AY NA FA KIBABE SANA
Mahakama Kuu ya Tanzania, imeiamuru Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Princes Leisure (T) Ltd ya jijini Dar es Salaam, kumlipa straika na nahodha...
MASHABIKI WA YANGA HAPO KIGALI SIO POA
Licha ya kusalia kwa siku chache kabla ya Young Africans kuvaana na Al Merrikh ya Sudan kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, tayari...
KWA KIPIGO HIKI CHA SIMBA SASA IMESHAKUWA HATARI
Leo asubuhi Kikosi cha Simba SC kimecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ngome FC na kuibuka na ushindi wa magoli 6-0.
Mabao ya Simba katika...
ISHU YA SIMBA KUSAJILI MAKIPA WENGI YAWEKWA WAZI
Mabingwa wa Ngao ya Jamii, Simba SC wamesema hawana shida yoyote kutokana na uamuzi wao wa kusajili idadi kubwa ya Walinda Lango kwa sababu...
TIZI LA YANGA SIO POA KAMA ULAYA UNAAMBIWA
KATIKA kuhakikisha Yanga inazidi kufanya vema katika mchezo unaofuata wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh, benchi la ufundi la timu hiyo...
SKUDU KAMA NZEGELI SASA, MAMBO YAPO HIVI
Winga wa Yanga Skudu Makudubela ameamua kupita njia za kiungo wa Yanga raia wa Congo Maxi Mpia Nzengeli.
Skudu ameonekana jana katika mazoezi ya Yanga...