Tag: soka
JKT TANZANIA NA SOKO LA USAJILI DIRISHA DOGO
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Malale Hamsini amesema ana mpango wa kusajili wachezaji wawili kwenye dirisha dogo ili kikosi chake kizidi kufanya vizuri kwenye...
HAPA SIMBA WAVUNJE TU BENKI MAANA SIO KWA DAU HILI
Mabosi wa Simba wanaendelea kukuna kichwa juu ya kumalizana na kocha Abdelhak Benchikha ambaye ndiye pekee aliyepenya kwenye mchujo uliofanyika, ili wamlete kuchukua nafasi...
ISHU YA KOCHA WA SIMBA YAFIKIA PATAMU
Uongozi wa Simba SC umesema utamtangaza kocha wake mpya kabla haijacheza na ASEC Mimosas ya vory Coast katika mchezo wa kwanza wa Kundi B...
UNAAMBIWA AJIB NI ZAIDI YA AZIZ KI
Wakati Kiungo wa Yanga raia wa Burkina Faso Stepehen Aziz KI akiwa hakauki midomoni mwa wapenzi wa Soka nchini kutokana na ubora wake anaouonesha...
UONGOZI WA YANGA WATAMBA, YANGA KUFIKA MBALI KULIKO KLABU YEYOTE BONGO
Kwa muda mrefu mashindano ya Afrika yamekuwa yakitawaliwa na timu za Kaskazini mwa Afrika.
Yanga kukutana na timu mbili kwenye hatua ya makundi kutoka...
BALAA ZITO NI KUSAKA USHINDI KWA NAMNA YEYOTE
Kila timu inaposhuka uwanjani mpango kazi mkubwa ni kupata ushindi. Iwe ni kwenye mchezo wa kirafiki hata ule wa ushindani malengo bado yanabaki palepale...
MAADUI WA SIMBA NI HAWA MASWAHIBA WA DAMU KABISA
Rafiki yangu mmoja, kiongozi wa Simba ambaye ana dhamana kubwa ya kuiongoza timu hiyo, msimu uliopita aliendelea kunisisitizia kitu alichokuwa ananiambia mara nyingi. Kwamba...
KALENDA YA FIFA NA MABADILIKO YA MTIBWA SUGAR …… KATWILA AAMUA...
Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila amesema atatumia mapumziko ya kalenda ya FIFA, kurekebisha makosa ya kikosi chake ambacho kinashika mkia kwenye msimamo...
WAKATI MAMBO MENGINE YAKIENDELEA HUKO SIMBA, KIKOSI KIMESHUKA KAMBINI LEO KWAAJILI...
WAKATI uongozi wa Simba ukiendelea na mchakato wa kuziba nafasi ya benchi la ufundi, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Daniel Cadena amesema wameanza maandalizi...
PATA BONASI MPAKA YA 80000/ KUTOKA MERIDIAN BET SASA
Michezo kabambe ya kasino mtandaoni kutoka Expanse itakufanya kuvuna bonasi kuanzia TZS 100,000/= kwenye mgao wa TZS 800,000/= Mwezi huu wa Novemba.
Ukiachana na sloti...