Tag: usajili
SIMBA KUSHUSHA WAMBA HAWA WANNE KUZIBA MAPENGO
Uongozi wa Simba SC umesema umetenga fungu la kutosha kwa ajili ya kufanya usajili wa nguvu kwenye dirisha dogo ambalo linmefunguliwa wiki iliyopita.
Katika dirisha...
MWAMNYETO ALIANZISHA YANGA… ATAKA KUTUMKIA HUKU
Taarifa kutoka kwa watu wa Nahodha wa kikosi cha Yanga Sc, Bakari Mwamnyeto zinaeleza kuwa huenda akatimka ndani ya kikosi hicho cha wananchi mwishoni...
MABOSI YANG WAFUNGUKA USAJILI WA MSUVA
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Saimon Msuva. WANANCHI kuna bomu wanataka kulitengeneza kupitia dirisha hili dogo la usajili nalo ni kushusha mashine...
MASTAA HAWA SIMBA WANAKUSANYA MAOKOTO KIMYA KIMYA
Simba kimya kimya ipo kwenye hatua za mwisho kusaini mastaa wapya kikosini hapo watakaoingia kwenye dirisha dogo la usajili lililowazi hadi Januari 15, mwakani.
Wakali...
SIMBA WASHINDWE WENYEWE MWAMBA KAVUNJA MKATABA HUKO
Kiungo wa klabu ya Union Touarga ya Morocco, Eric Mbangossoum mwenye umri wa miaka 23, amevunja mkataba na klabu hiyo hivyo ni dodo kwa...
KWA HILI SASA KAZI NI KWA YANGA TU
Straika wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Ranga Chivaviro amevunja ukimya kwa mara ya kwanza kwa kuzungumza na Mwanaspoti juu ya tetesi za kusajiliwa...
RASMI KIRAKA WA SOKA NI MWANANCHI
Klaby ya Yanga imekamilisha usajili na kumtambulisha rasmi kiungo wa boli, Shekhan Ibrahim Hamis kutoka JKU ya Zanzibar.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 18,...
UNAAMBIWA TAMU NA CHUNGU YA USAJILI SIMBA KAACHIWA BENCHIKHA
Rasmi Kocha Mkuu wa Simba raia wa Algeria, Abdelhak Benchikha ameikabidhi Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, majina ya wachezaji wanne anaotaka wasajiliwe katika...
KUTOKA TP MAZEMBE MPAKA SINGIDA KAMA UTANI
Klabu ya Singida Fountain Gate inatajwa kuwa ipo kwenye mazungumzo ya kina na aliyekuwa kiungo wa TP Mazembe ya DR Congo, Miche Mika anayekipiga...
YANGA HAWATAKI MCHEZO DIRISHA DOGO….. WAJA NA BALAA HILI
Klabu ya Young Africans imepanga kusajili wachezaji nyota wapya ili kukiongozea nguvu kikosi chao kinachohitaji kufanya vizuri katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Barani...