Tag: usajili
HIKI WANACHOFANYA YANGA SASA NI KUKOMOA
HIKI kinachofanywa na Yanga sasa ni kukomoa. Baada ya kushusha winga kutoka DR Congo, Maxi Nzengeli aliyetoke AS Maniema anayesifika kwa chenga, kasi na...
KUMBE MSIMBAZI WALIMNYAKUWA STAA HUYU, KABLA YA YANGA ISHU NZIMA IKO...
UONGOZI wa Simba umefafanua mbinu ilizotumia kuinasa saini ya kiungo Fabrice Ngoma ambaye alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za watani zao wa jadi, Yanga.
Nyota...
KUHUSU CHAMA SIMBA WAJA JUU, YANGA WAHUSISHWA, ISHU NZIMA IKO HIVI
UONGOZI wa Simba umeibuka baada ya kukamilisha suala la kiungo wake Mzambia, Clatous Chama aliyegomea kambi ya nchini Uturuki kwa kutamka kuwa hawakuwa na...
KIPA WA SIMBA , AISHI MANULA AFUNGUKA HAYA KUHUSU HALI YA...
AISHI Manula, ‘Air Manula’ kipa namba moja wa Simba taratibu anazidi kurejea kwenye uimara wake baada ya kuwa kwenye mwendelezo wa matiabu ya afya...
JONAS MKUDE AANZA RASMI KUFANYA MAAJABU YAKE KATIKA KIKOSI CHA YANGA,...
KIUNGO mpya wa Yanga, Jonas Mkude ameanza kazi kuelekea msimu mpya wa 2023/24.
Safari huu Mkude mzawa mwenye uwezo eneo la kiungo atakuwa na uzi...
SIMBA HAWATAKI UTANI KABISA, WENGINE WATATU WATAMBULISHWA SIO POA
MTU tatu kwa mpigo zimetambulishwa ndani ya Simba rasmi baada ya kusaini dili jipya kuwa kwenye familia ya Msimbazi.
Ni Julai 20 watatu wametangazwa kwa...
KWELI MAISHA YANAENDA KASI SANA MKUDE AINGIA KATIKA ORODHA HII
MAISHA yanaenda kasi sana. Ebu fikiria kabla ya Juni 9 Ligi Kuu Bara ya msimu uliopita kufikia tamati, Jonas Mkude alikuwa staa wa Simba....
TRY AGAIN ATAMBA KUMSAJILI STRAIKA WA UHISAPANIA SIMBA HII SIO POA
Mchezaji wa zamani wa CD Tenerife ya nchini Hispania, Shaban Chilunda
SIMBA wamefikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa zamani wa CD Tenerife ya nchini Hispania,...
MALONE AFUNGUKA KILA KITU KUHUSU YEYE KUTUA SIMBA
MLINZI mpya wa Klabu ya Simba Che Malone Fondoh amesema aliamua kujiunga na timu hiyo ili kuonesha daraja alilo nalo anapokuwa dimbani.
Che Malone amesema...
BAADA YA YANGA KUMCHUKUA MKUDE, SIMBA YAMLETA MBADALA WAKE
Baada ya kuachana na kiungo, Jonas Mkude aliyeitumikia Simba SC kwa miaka 13, Wanamsimbazi wamemalizana na kiungo Mtanzania, Hamis Abdallah anayekipiga nchini Kenya.
Simba SC...