Tag: usajili
NAMBA 6 WA YANGA, BEKI AFUNGUKA BALAA LAKE
Mara baada Yanga kumtambulisha nyota wa Marumo Gallants, Mahlatse Makudubela, beki aliyekuwa akicheza naye, Mpho Mvelase ameeleza jinsi Yanga watakuwa wamelamba dume kutokana na...
SIMBA WAMBEBA MSHAMBULIAJI HUYU WA AZAM FC
Wakati wakiwa wamebaki wachezaji wawili tu kujiunga kambini nchini Uturuki, uongozi wa Klabu ya Simba SC umeendelea kukiboresha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa...
YANGA WATAMBA KUSHUSHA NYOTA MWINGINE HATARI TUPU
RAIS wa Klabu ya Yanga Hersi Said amesema timu hiyo inatarajia kumtangaza mchezaji mwingine mpya kwenye kikosi hicho ili kuongeza nguvu kuelekea msimu ujao.
Mhandisi...
YANGA YABAKISHA SIKU NNE KUWASHANGAZA MASHABIKI NA WADAU
ZIMEBAKI siku nne kuanzia leo mashabiki wa Yanga kushuhudia tamasha kubwa la kilele cha Wiki ya Mwananchi ambalo wanalitumia kutambulisha wachezaji wapya na wa...
MAYELE,CHAMA PASUA KICHWA SIMBA, JAMBO JIPYA LAIBUKA UARABUNI
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikikubali yaishe kwa mshambuliaji wake, Fiston Mayele kwenda kujaribu changamoto nyingine Pyramids FC ,mgogoro mpya umeibuka kwa kiungo fundi,...
MAJERAHA YAMPONZA BOCCO, SIMBA WACHUKUA MAAMUZI MAGUMU
Dar es Salaam. Majeraha ya mara kwa mara ya nahodha John Bocco, ni sababu kubwa iliyoishawishi Simba kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Azam FC,...
HUKO SIMBA MAMBO YANAZIDI KUNOGA, NAFASI YA MANULA YACHUKULIWA NA MCAMEROON,...
KAMA mambo yakienda yalivyopangwa kipa Mcameroon, Simon Omossola (25) anaweza kusaini Simba muda wowote kuanzia sasa. Lakini kikosi kikiendelea kujifua Uturuki leo kinatarajia kuwapokea...
MASTAA HAWA WATATU YANGA KUFUNGA USAJILI
YANGA imetambulisha wachezaji wapya watano hadi sasa ambapo wanne ni wa kigeni na wawili wazawa, lakini chanzo kimepenyezewa iko mbioni kushusha wengine watatu ili...
KOCHA WA YANGA AIPONGEZA SIMBA KWA USAJILI HUU
KOCHA wa zamani wa Yanga na AS Vita, Roul Shungu, amefunguka kuwa, kitendo cha Simba kufanikiwa kumpata aliyekuwa kiungo wa Al Hilal ya Sudan,...
HUO MSHAHARA WA MIQUSSONE SIO POA, UNAAMBIWA AMETUA NCHINI KIMYAKIMYA
INAELEZWA kiungo mshambuliaji wa Al Ahly ya Misri, Luis Miquissone raia wa Msumbuji ameletwa nchini kimyakimya na mabosi wa Simba na kufichwa katika mmoja...