Tag: yanga leo
TAKWIMU ZA MISIMU 5…SIMBA NA YANGA HEAD 2 HEAD
Kwa takribani misimu mitano ya nyuma klabu ya Yanga imekuwa tishio dhidi ya Simba haswa pale miamva hii inapokutana uwanjani.
Kwenye michezo 10 waliyocheza ndani...
MAPYA YAIBUKA UJENZI UWANJA WA YANGA…INJINIA HERSI AFUNGUKA UKWELI
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuhusu mipango ya kujenga uwanja wao wa kisasa katika eneo la Jangwani, walipewa machaguo mawili, walipwe fidia...
MASTAA YANGA WAIPIGA MKWARA MZITO ALAHLY
Beki wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Dickson Job amesema kupoteza kwao dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria haina maana kwamba wametoka...
SAFARI YA UKAME WA MIAKA 25 KWA YANGA NDANI YA CAF...
SAA 4 usiku usiguse rimoti. Yanga itakuwa palepale iliposhinda siku ile dhidi ya USM Algers lakini wakakosa Kombe la Shirikisho Afrika sababu ya kikanuni...
BOSI YANGA ANUNUA UGOMVI WA SIMBA NA WAARABU….ISHU NZIMA IMEKAA HIVI…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu katika Ligi ya Mabingwa Afrika ni kupata pointi tatu kwenye kila mchezo ikiwa ni pamoja na Waarabu...
FUNDI MPYA WA YANGA NI BALAA NA NUSU….KAZI YAKE YA KWANZA...
Rekodi za mtaalamu mpya wa Yanga aliyetua kambini majuzi kutoka Sauzi, Mpho Maruping zinaonyesha ni mtu kwelikweli na kama ataifanya kazi kwa ufanisi, basi...
KUELEKEA MECHI YA CAF NA WAALGERIA….MASTAA ‘WASUKWA’ KIULAYA ULAYA…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi hataki masihara baada ya kuwapa mbinu mpya ya kufunga wachezaji wake wanapokuwa eneo la hatari la mpinzani.
Hatua hiyo...
SIMBA KWA MISIMU MIWILI SASA WAMESHINDWA NA WATANI ZAO
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Wasafi FM Radio, George Job amesema kuwa Klabu ya Simba imezidiwa ubora na watani zao Yanga SC...
RAIS WA YANGA AANZA MIKAKATI, BAADA YA GAMONDI KUMPA LIST HII
Wakati mashabiki na wapenzi wa Yanga wakiendelea kutamba mtaani kutokana na kiwango bora kilichoonyeshwa na timu hiyo iliyoshinda mechi nane kati ya tisa za...
REKODI HIZI ZA ROBERTINHO, GAMONDI HANA
Kocha Mbrazil wa Simba, Robertinho hajapoteza mchezo wowote msimu huu akiwa na Simba SC, Ligi kuu ameshinda michezo yote sita.
Katika Michuano ya AFL ametoa...