Tag: yanga leo
YANGA SASA WAWATAMANI AL AHLY BAADA YA SIMBA KUSHINDWA KUTAMBA
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa, umetumia mchezo wa Simba kuwasoma wapinzani wao, Al Ahly ambao watakutana katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu...
YANGA WATOA TAARIFA HII MPYA MAPEMA LEO
Yanga iko mbioni kuzindua jezi maalum itakayotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuanzia hatua ya makundi.
Sheria Ngowi ambaye ndiye mbunifu wa...
GAMONDI: TULIFANYA KOSA HILI IKAWA NI ZAWADI KWA WAPINZANI
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amezungumzia kiufundi mchezo wa juzi waliopoteza kwa magoli 2-1 dhidi ya Ihefu katika muendelezo wa Ligi Kuu ya...
UONGOZI WA YANGA WATOA TAMKO HILI BAADA YA KUPOTEZA
Uongozi wa Yanga umetoa kauli yake mara baada ya timu yao kupoteza mechi ya kwanza ya ligi ukisema wamepoteza mechi na sio ubingwa wao...
YANGA YATOA TAMKO HILI BAADA YA KUSHINDWA KUTAMBA MBELE YA IHEFU
Uongozi wa Yanga umesema ligi bado ndefu hivyo bado nafasi ipo kufanya vizuri mechi zinazofuata.
Oktoba 4, 2023 ubao wa Uwanja wa Highland Estate ulisoma...
HUYU GAMONDI SASA NI HATARI NI DOZI JUU YA DOZI AFANYA...
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi katika kuhakikisha anapata ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya Al Merrikh, kesho Jumamosi ameonekana kuwaongezea dozi ya mazoezi wachezaji...
AZIZI KI AFUNGUKA KILICHOMFELISHA MSIMU ULIOPITA,….. SASA MAMBO NI HIVI
Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Aziz Stephanie Ki amesema kuwa kilichomfanya asifanye vizuri msimu uliopita ilikuwa ni ugumu wa kuzoea mazingira mapya ya...
KATIKA HILI LA MASHABIKI YANGA NDIO INAONGOZA, ISHU IKO HIVI
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka kutoka EATC na EA Radio, Ibra Kasuga amesema kuwa Klabu ya Yanga ndiyo inaongoza kwa kuwaposti mashabiki zake...
GAMONDI ATAMBA, AWEKA WAZI REKODI YAKE HII MPYA LIGI YA MABIGWA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amefichua kuwa, anafahamu timu hiyo ina rekodi mbaya kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kushindwa kucheza...
MASHABIKI WA YANGA HAPO KIGALI SIO POA
Licha ya kusalia kwa siku chache kabla ya Young Africans kuvaana na Al Merrikh ya Sudan kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, tayari...