Tag: yanga leo
GAMONDI AANZISHA VITA HII YANGA, MASTAA WAHAHA
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ametegeneza vita kubwa kwenye kikosi chake, jambo ambalo litamfanya apasue kichwa kupata kikosi cha kwanza.
Yanga juzi ilicheza mchezo wa...
MWAMBA HUYU HAPA ALIYECHUKUA MIKOBA YA MAYELE
Klabu ya Young Africans imemsajili Mshambuliaji Hafiz Konkoni raia wa Ghana kwa mkataba wa miaka miwili na inaelezwa ndio mbadala wa Fiston Mayele.
Mshambuliaji huyo...
MASTAA HAWA WATATU YANGA KUFUNGA USAJILI
YANGA imetambulisha wachezaji wapya watano hadi sasa ambapo wanne ni wa kigeni na wawili wazawa, lakini chanzo kimepenyezewa iko mbioni kushusha wengine watatu ili...
YANGA HAIBOI, HAIPOI, YATAMBULISHA BEKI MPYA KUTOKA ASEC MIMOSAS
KLABU ya Yanga imemtambulisha beki wa kulia, Kouassi Attohoula Yao (26) kuwa mchezaji wake mpya wa tano kutoka ASEC Mimosas ya kwao, Ivory Coast.
Wachezaji...
YANGA SASA NI CHUMA BAADA YA CHUMA, WAMTAMBULISHA MCHEZAJI WAO MPYA...
Baada ya kumtambulisha Winga Nickson Kibabage, Mlinzi Gift Fred kutoka Uganda, Kiungo Jonas Gerald Mkude alieachana na watani zao Simba SC.
Klabu ya Yanga imeendelea...
KOCHA MPYA WA YANGA AWEKA WAZI MIPANGO YAKE, ATAJA SIFA ZA...
Kocha Mkuu mpya wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Gamondi amesema malengo yake ni kuhakikisha kuwa anawatengeneza wachezaji wake kuweza kucheza...
YANGA YASHUSHA BEKI HUYU KISIKI KUTOKA SC VILLA
Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa beki wa kati Gift Fred kutoka katika klabu ya SC Villa kwa mkataba wa miaka mitatu kuitumikia timu...
MWANASHERIA WA YANGA ALAMBA DILI FIFA,… YANGA WATIA NENO
Mkurugenzi wa Sheria wa Young Africans SC, Wakili Simon Patrick amechaguliwa na Baraza Kuu la Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa kwenye jopo la...
KIKOSI CHA YANGA KINAZIDI KUMEGUKA…..WENGINE WAWILI KUONDOKA
Wakati mashabiki wa Young Africans wakisubiri kwa hamu fujo za usajili mpya ndani ya kikosi chao, timu hiyo iliyopata mafanikio makubwa msimu uliopita inaendelea...
YANGA WASHINDWA KUTAMBA MALAWI WALAZIMBISHWA SULUHU
KLABU ya Yanga leo imelazimisha suluhu dhidi ya Nyasa Big Bullets ya Malawi katika mchezo maalumu wa kirafiki wa kimataifa kuadhamisha miaka 59 ya...