Tag: YANGA
YANGA YAMTEMESHA BUNGO KOCHA MADEAMA
BAADA ya kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Yanga kwenye mchezo wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uliochezwa Desemba 20, Medeama...
YANGA SIO KINYONGE MPAKA DODOMA …… TABORA UNITED WAJIPANGE, MASTAA HAWA...
Msafara wa kikosi cha Yanga SC, umewasili mapema leo asubuhi jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tabora United.
Mchezo...
LIGI KUU SIO KITOTO TENA SIMBA,YANGA JUMAMOSI HII
Baada ya kukamilisha majukumu yao ya Kimataifa kwa ushindi mnono, wawakilishi wa nchi katika mashindano ya Klabu Bingwa, Simba SC na Yanga SC, wanarejea...
PACOME ,SANKARA USO KWA USO CAFCL
Pacome Zouzoua ameendelea kuongeza akaunti ya mabao kwa kufikisha matatu nyuma ya Sankara Karamoko wa Asec Mimosas mwenye mabao manne, kwenye michuano ya Ligi...
YANGA NA PACOME MPAKA AFCON
Nyota wa Yanga, Pacome Peodoh Zouzoua amejumuishwa kwenye kikosi cha awali cha wachezaji 53 wa Ivory Coast 'The Elephant' kitakachoingia kambini kuipambania bendera ya...
ENG HERSI AMPA NENO HILI GSM BAADA YA YANGA KUCHUKUA POINT...
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuondoka na alama tatu katika mchezo wake dhidi ya Medeama katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika.
Katika mchezo huo ambao Yanga...
PHIRI AJIKUTA NJE YA LIST…. ISHU NZIMA IKO HIVI
Wakati Simba ikifufuka na kupata ushindi wa kwanza kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Wydad Casablanca kwa ushindi...
YANGA KUKIPIGA DODOMA DHIDI YA TABORA
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imefanya mabadiliko ya uwanja wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Tabora United dhidi ya Yanga...
JE’ MASHABIKI WANAIJUA YANGA KULIKO GAMONDI?
Mpira wa kisasa umebadilika vitu vingi. Zamani wachezaji walikuwa wanacheza kwa namba uwanjani. Siku hizi sio hivyo. Ni mwendo wa kupewa majukumu. Ndiyo maana...
MECHI YA USHINDI NA HESHIMA LEO YANGA vs MADEAMA
“Leo ndio leo leo...” Huo ndiyo wimbo unaogonga kwenye mioyo ya mashabiki wa Yanga na kuanzia saa 10:00 jioni, chama lao litakuwa Uwanja wa...