HATIMA YA DJUMA NA YANGA HADHARANI, ISHU IKO HIVI
Meneja wa beki wa kulia Djuma Shabani, Yasmin Razak amesema mteja wake yuko kwenye vikao na uongozi wa Young Africans kuona namna gani wanamalizana ili…
Meneja wa beki wa kulia Djuma Shabani, Yasmin Razak amesema mteja wake yuko kwenye vikao na uongozi wa Young Africans kuona namna gani wanamalizana ili…
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera amezungumza kuelekea mchezo wa kesho wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa katika Dimba la CCM…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi licha ya timu yake kupata matokeo dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii,…
Baadhi ya wachambuzi wa soka na wadau wa kabumbu nchini wanaipa Young Africans Sports zaidi ya asilimia 50 kushinda taji la Ngao ya Jamii mbele…
Mshambuliaji wa zamani wa AS Vita Club ya Congo na Yanga SC, Fiston Kalala Mayele ambae kwa sasa nakipiga kwenye Klabu ya Pyramids FC ya…
Baada ya jana kufanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Big Stars kwa ushindi wa penati 4-2. Kocha wa Simba…
Meneja wa Klabu ya Yanga, Walter Harson jana amezungumzia hali ya kikosi chao kuelekea maandalizi ya mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii utakaopigwa siku…
Winga wa Yanga Jesus Moloko amemaliza adhabu ya kufungiwa mechi tatu na sasa yuko tayari kwa mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina ni kama amempotezea kocha wa wapinzani wake wa kubwa wa Ligi Kuu Bara Simba, Robert Oliveira ‘Robertinho’…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burkina Faso Stephen Aziz Ki, ametoboa siri kwa kusema Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Angel Gamondi alimpa maelekezo maalum kabla…