Tag: yangasc
YANGA MLIFURAHIA KUPANGIWA NA RIVERS…ILA MNA KAZI NZITO “KUMWEMBE
Wakati Mabingwa watetezi wa Tanzania Bara na Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Tayari wamepewa tahadhari namna ya kuuendea mchezo huo...
ILE MECHI NA SIMBA YAWACOST YANGA…RIVERS HAWAKUWA MBALI “TUMEGUNDUA HILI
Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa nchini Nigeria Rivers United, Stanley Eguma, amekiri kuifuatilia Young Africans ilipokuwa ikicheza dhidi ya Simba SC juzi Jumapili (April...
MECHI HII YA YANGA YAPELEKWA MBELE…HUYO NABI SASA!!
Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki
Yanga...
KISA KUNYUKWA NA SIMBA…MUSONDA ASHINDWA KUAMKA…AMEFUNGUKA HAYA
Mshambuliaji wa Yanga SC, Kennedy Musonda amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kipigo cha bao 2-0 kutoka kwa watani zao wa Jadi,...
HUYU HAPA MWAMUZI WA KIKE…ALIYEANDIKA REKODI YA HATARI…KARIAKOO DABI
Jonesia Rukyaa ndiye mwamuzi wa kwanza kuchezesha derby mbili ndani ya siku 25 katika msimu mmoja huku mmoja ukichezwa Uwanja wa Uhuru na mwingine...
HII HAPA REKODI YA SIMBA NA YANGA…HAIJAVUNJWA KWA MIAKA 45…MSUVA NA...
Kama utani imetimia miaka 45 sasa tangu mchezaji mmoja alipofanikiwa kufunga magoli matatu 'hat-trick' kwenye Dabi ya Kariakoo.
Ilifungwa na Abdallah 'King' Kibadeni mwaka 1977....
YANGA KILICHOWAPONZA NI DHARAU…MTAPIGWA NYINGI NA RIVERS
Mechi ya Watani imeamuliwa na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi...
HUYU HAPA MCHEZAJI WA KWANZA…KUTOKA YANGA KWENDA SIMBA…OKWI,TAMBWE,MORRISON WANASUBIRI
JANA Aprili 16, 2023 ilikuwa dabi ya Kariakoo. Miaka 40 iliyopita tarehe kama hiyo, Simba ilikubali kichapo cha mabao 3-1.
Ndio ilikuwa ni Aprili 16,...
YANGA YAKAMILISHA USAJILI HUU…”HII NI ZAWADI KWA MASHABIIKI WETU
Tuliahidi na tumetimiza Na hii ndio zawadi ya Iftar kwa Wananchi! Hii ni kauli ya Klabu ya Yanga baada ya kutangaza kumuongezea
mkataba beki wao,...
BAADA YA YANGA KULA KICHAPO…SHABIKI HUYU MWANACHI AFARIKI…ISHU NZIMA IKO HIVI
Shabiki wa Yanga aitwaye Jane, mkazi wa Kata ya Bwilingu wilayani Chalinze mkoa wa Pwani, amepoteza maisha wakati akiangalia mchezo wa jana wa watani...