ASTON VILLA WAPATWA NA BAMFORD, WACHAPWA
ASTON Villa wakiwa nyumbani hawatamsahau mshambuliaji wa Klabu ya Leeds United, Patrick Bamford kwa kuwatungua hat-trick kwenye mchezo wa Ligi Kuu England wakati wakipoteza...
RUVU SHOOTING: WAO WANA PIRA BIRIANI SISI TUNA PIRA KAVUKAVU
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Klabu ya Ruvu Shooting amesema kuwa kikosi chao kipo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya Simba utakaochezwa Oktoba...
OKTOBA 26 SIMBA KAZINI TENA
KIKOSI cha Simba kina kibarua kingine tena Oktoba 26 kumenyana na timu ya Ruvu Shooting ambayo nayo ni mwendo wa kijeshi ndani ya uwanja...
YANGA YAWASILI MWANZA, MMOJA KUWAKOSA KMC KESHO
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze raia wa Burundi leo Oktoba 23 kimewasili salama Mwanza, tayari kwa maandalizi ya mchezo wa...
VITA YA UFUNGAJI BORA MAMBO NI MOTO, AZAM YAPACHIKA WAWILI,
KWENYE orodha ya wafungaji Bongo nyota wa timu ya Azam FC, Prince Dube ni kinara wa kutupia akiwa nayo mabao sita na ametoa jumla...
KOCHA YANGA: MUHIMU POINTI TATU MENGINE YATAFUATA
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho anakihitaji kuona kutoka kwa wachezaji wake ni kupata ushindi utakaowafanya wasepe na pointi tatu...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO
KESHO ndani ya gazeti la Championi Jumamosi usipange kukosa nakala yako
RATIBA YA SUPER U 20 ITAKAYOANZA KUFANYIKA KESHO HII HAPA
KESHO, Oktoba 24, kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi yataanza mashindano ya vijana chini ya miaka 20 kutoka vilabu 8.Mashindano hayo yatashirikisha timu 4...
YANGA YAANZA KUSUKA KIKOSI KAZI CHA KUIMALIZA SIMBA NOVEMBA 7
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, anataka kukibadilisha kikosi chake hicho kabla ya kuwavaa wapinzani wao Simba, Novemba 7. Katika mkakati huo, viongozi wa Yanga...