DAVID KISSU AWEKA REKODI YAKE BONGO
DAVID Kissu Mapingano kipa namba moja wa Azam FC ameweka rekodi ya kuwa kinara wa clean sheet ndani ya Ligi Kuu Bara Bara msimu...
MOLINGA NYOTA WA ZAMANI WA YANGA AANZA MAZOEZI ZESCO
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Yanga, David Molinga ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Zesco ambayo amejiunga nayo msimu huu wa 2020/21.Molinga...
MATOKEO YA MECHI ZA JANA
MATOKEO YA SOKA JANA JUMANNE 20.10.2020UEFA Champions League FT Chelsea 0 - 0 Sevilla FT Rennes 1 - 1 FC KrasnodarFT Zenit St. Petersburg 1 -...
KOCHA MANCHESTER UNITED: TULISTAHILI USHINDI
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa walistahili ushindi usiku wa kuamkia leo mbele ya PSG kwenye mchezo wa Ligi ya...
MUZIKI WA TANZANIA PRISONS WAIPA PRESHA SIMBA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons kesho sio mwepesi kutokana na uimara wa wapinzani wao hao ambao kwa sasa...
YANGA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA POLISI TANZANIA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kesh, Oktoba 22, Uwanja wa Uhuru dhidi ya...
AMRI SAID WA MBEYA CITY AFUTWA KAZI
AMRI Said, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City amefutwa kazi Oktoba 20 kutokana na timu kutokuwa na mwendo mzuri msimu wa 2020/21.Kwa sasa timu...
YANGA YATUA KWA KIUNGO WA KAIZER CHIEFS
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
SIMBA; KUTOLEWA MAPEMA LIGI YA MABINGWA NI SOMO KWETU
CLATOUS Chama, kiungo wa Klabu ya Simba raia wa Zambia amesema kuwa kuondolewa kwa timu hiyo msimu uliopita kwenye michuano ya kimataifa ni somo...