HESABU ZA YANGA NI KUSEPA NA UBINGWA MSIMU WA 2019/20
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa una imani ya kufanya maajabu pale Ligi Kuu Bara itakaporejea Juni Mosi kwa wachezaji wao kujituma kupata matokeo ili...
CHAMA ANACHEKELEA AKITOKEA UPANDE WA KUSHOTO
KIUNGO Mzambia anayekipiga kunako kikosi cha Simba, Clatous Chama, amesema akiwa anacheza kwa kushambulia akitokea upande wa kushoto, anakuwa mtamu zaidi kuliko nafasi nyingine...
HIKI NDICHO AMBACHO KINAPANGWA KWA SASA KABLA YA LIGI KUREJEA
IKIWA imebaki wiki moja kufikia Juni Mosi, mwaka huu siku ambayo ligi za hapa nchini zitarejea, Serikali, Bodi ya Ligi (TPLB) na Shirikisho la...
HAPA NDIPO ALIPO MBWANA SAMATTA
HAPA ndipo timu ya Mbwana Samatta Aston Villa ilipokuwa imesimama kutokana na janga la Virusi vya Corona. Ipo nafasi ya 19 baada ya kucheza jumla...
SONSO YUPO TAYARI KWA MAPAMBANO NDANI YA LIGI KUU BARA
BEKI wa Yanga, Ally Mtoni 'Sonso' amesema kuwa yupo tayari kwa ajili ya mapambano ndani ya Ligi Kuu Bara kumaliza mechi zilizosalia ndani ya...
GSM KIBOKO YAMPA MKATABA NYOTA HUYU,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
MROMANIA WA AZAM FC ATENGA SAA 336 ZA KAZI
ARISTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa atatumia masaa 336 ambayo ni siku 14 kurudisha makali ya kikosi.Ligi Kuu Bara ilisimamishwa Machi...
VIDEO: TUJIKUMBUSHE BAO LA BERNARD MORRISON DHIDI YA SIMBA
TUJIKUMBUSHE bao la Bernard Morrison mbele ya Simba, Machi 8, burudani inarejea
SIMBA YACHIMBA MKWARA HUU, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
KESHO ndani ya CHAMPIONI Jumatatu